Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa...
34 Reactions
156 Replies
15K Views
Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua...
12 Reactions
136 Replies
10K Views
Hivi inakuaje umetongoza mwanamke, unakuta ana mtu wake, anakwambia nakukubalia ila nina mtu wangu. Anakutimizia kila kitu kwako, mpaka usafi and everything but still yule mtu anakua nae japo...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwema wote? Niende kwenye mazungumzo Maneno ni kitu kinaumiza sana na kimebeba jumbe nyingi na uhalisia japo kuwa tunaambiwa tuzibe masikio au tufanye hatujasikia lakini niseme maneno kwa mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamaa yangu ana mdogo wake kamaliza chuo mwaka Jana. Amekaa Mtaani kodi imeisha akakosa pa kukaa. Kaka yake ni mtu wangu wa karibu. Akanambia mdogo wake anakosa pa kukaa. Jamaa yupo Dodoma. Pale...
76 Reactions
119 Replies
11K Views
Kwa kuanza ningependa kuwakumbusha baadhi ya maneno yanayopatikana kwenye nyimbo za wasanii wetu hapa nchini. 1. "Hawana alama binadamu wanaokuja kukuhukumu" - DARASA CMG. 2. "Sichagui sibagui...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana! Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi every ones Nina swali lina ni vuruga kweli kweli Pili nina taka kuomba ushauri Hivi kwanini wanawake wengi ambao wali kuwa pisi kali mtaani wa kiolewa kwanini wengi wao awa dumu kwenye ndoa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mruhusu achague majukumu yake ya ziada: Wakati mwingine kile ulichopanga kwa ajili ya Mtoto sipo moyo wake ulipo. Kila mtoto ana utofauti wake, mpe uhuru Usijaribu kumbadilisha: Kama wewe ni...
1 Reactions
1 Replies
820 Views
Hii kitu inaitwa Spanish gold fly, ni hatari sana. Kazi yake ni kuhamsha hisia za kingono za mwanamke yani mpaka analoose control. Kuna wanaume wamekuwa wakitumia kwa kutake advantage unakuta...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Asikwambie mtu kitu. Pamoja na mambo mengine, heshima yako na hata majukumu yako kama mtu mzima asilimia kubwa imejikita eneo hilo. Usichukulie POA. Ulikuwa mtoto ukawa kijana, umepambana na...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Wikiendi moja niko zangu kwenye kilaji ndio nilikutana na hili jinamizi lililojipachika jina la Sarah, tunaburudishwa tu na hawa warembo wanaofanya kazi kwenye sekta yao isiyo rasmi (kujiuza) muda...
36 Reactions
147 Replies
22K Views
Sio roho mbaya ila wote tuko tofauti, kunamuda unakutana na mtu naturally unaona kua your iceberg and his or hers doesn't click , yani mfano mchumba ni mzuri kitabia ila mama au baba au ndugu...
1 Reactions
8 Replies
899 Views
Naombeni kuuliza kuhusu umiliki wa mali kwa wanandoa endapo watatengana, mfano, Mke kama amekuta mmewe tiari kuna mali anamiliki mfano, nyumba je ikitokea mmetengana na hamkua na watoto mke...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Siku za karibuni nilienda kijjin kwetu nikakutana na katoto kazuri tu nika katongoza akakubali lakini sasa cha ajabu hataki nimpe huduma mfano juzi alipatwa na msiba mjomba wake alifariki hakuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu! Leo nimeghadhabika sana baada ya kukuta kundi la washikaji wanaopiga stori, nikaingia kati yao mara wote kimyaa! kama dakika 4 hivi! Nimekasirika sana aisee nikaamka na kuenda zangu. Hii...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Shule zinafundisha kwamba kijana wa kiume anayefikisha umri wa kubalehe ni kawaida kuota ndoto nyevu, na akiamka hujikuta tu amelowa. Hii ni sayansi inayochochea vijana wa kiume kuzini na mapepo...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Kutokana na wimbi la wanandoa kujinyonga,kujiua,kuuwa,kujeruhi wenza wao! Ni dhahiri sasa serikali iingilie kati na kuweka sheria kabla ya ndoa ni lazima wapenzi wapimwe akili na uwezo wao wa...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Ila jamani sikutegemea kama ningeleta umbea wa namna hii kwenu wakuu ni basi tu kuna vitu nimefikiria vinafurahisha mnisamehe. Iko hivi jamaa ana mke wake ambaye ni mama wa nyumbani wana mtoto...
20 Reactions
55 Replies
7K Views
Back
Top Bottom