Habarini Wana MMU,
Nimekuwa nikijaribu kufikiria hii kauli ya "mke sio sura bali tabia" na matumizi yake,wengi hasa vijana wa siku hizi wanaichukulia kauli hii kama kauli iliyopitwa na wakati...
Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani.
Appetite ya kuwa naye imekata...
Nimetokea kumpenda Dada mmoja hivi ila ni muhudumu wa bar,sina uzoefu sana na watu hawa ila tangu nianze nae uhusiano ni mwaka sasa kila aikitoka kuuza huwa anakuja home kulala muda ule wakufunga...
".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?"
RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza.
Rais...
" Huyu dada amekuwa akiandika kwenye mitandao kuwa nmemtelekeza na kwenda chumbia mwanamke mwingine.
Nlianza naye mahusiano nikiamini angekuja kuwa mke wangu.nliepuka kwa muda mrefu kufanya naye...
Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi.
Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi...
Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support...
Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23].
Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi...
In some cases, when we spruce up and check our look in the mirror, we begin grinning and respecting our outfit particularly on the off chance that we understand that we look beautiful
Our...
Heshima kwenu wakuu,
Ni muda kidogo sijaonekana humu
Ila nimeludi
Niende moja kwa moja the issue iko hivi
Nina mpenzi wangu tuna miezi kama 5 hivi. Ana malengo ya kunioa ananipenda sana najua...
Swali!! je, mwanamke anaekuomba hela au pesa anakupenda au hakupendi, jibu linaweza kua Yes au No kutokana na mazingira Muktadha wa mahali husika
Mimi nikiwa kama mchunguzi wa saikolojia huru...
Nimeshachoka kuchakata chakata bila sababu ya msingi,
Leo nimekuja kwenu waungwana Nipo Natafuta mke wa kuoa ,,
Sina vigezo vingi kigezo ni kimoja tu awe anapumua tu Tosha ,
Awe muislamu ...
Nataka kumuacha huyu mchepuko ila nashindwa.
Kuna wakati tunakasirishana akiwa mbali, mpaka inafikia hatua ya kusema simtaki.
Ila tu akionekana karibu na macho yangu tu nimekwisha,najikuta...
Nipo kweli mahusiano almost two years sasa!
Sema kweli huyu binti nampenda lakini tabia zake hazifai kuwa mke hata kwa kubahatisha!
Kasoro zake!
Mtu wa visirani na visasi yaani akimchukia mtu...
Jirani yako akibuni njia nzuri si mbaya kuiga ilimradi ufikie malengo yako.
Tunakubaliana watoto weng wa kike chini ya 18 wamenona, wanajipamba na wao wanatia watu majaribun kwa tamaa na haraka...
MKASA WA KWANZA: Unanihusu mimi mwenyewe
Naanza na rafiki yangu:
Juzi jumamosi nimeamka salama, baada ya kufanya mambo yangu nikaona ngoja nimtembelee jamaa mmoja hivi ni rafiki yangu sana...
Kwenye mahusiano,Kuna wanawake wengi ambao wanaumia kwakua wanaume wao wamepoteza kujiamini.
Mwanaume anapopoteza kujiamini mara nyingi anakua na Gubu, anakasirika vitu vidogo vidogo, anakua na...
Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku.
Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa...
In short, ndoa ina miaka minne sasa na karibia tunapata mtoto. Tatizo rafiki zake mke wangu wa kike wanapokuja nyumbani hata kama ni wabaya kumzidi mke, mimi nakuwa nawatamani sana ata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.