Kuna rafiki yangu aliniambia hakuna mtu asiejua kupenda hata ujifanye kauzu vipi moyo una stop center yake utadondokea tu hata chizi.
Basi bwana Mimi baada ya kuachana na mtu fulani niliekuwa...
Amakweli Dunia ina mambo na haiishi vituko. Ni baada ya kupata ajira yangu ya mwanzo mwaka 2007, katika visiwa vya ukelewe huko. Nikiwa ktk ofisi yangu ya kazi nilipata mteja mmoja mwanamke mwenye...
Habari wana JFs MMU.
Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa(...
Asalam aleykum
Wakati tunaendelea kujikinga na ugonjwa wa Covid-19. Naomba kutoa maoni yangu. Uyachukue au uyaache lakini ukweli u-prevail.
Kihistoria ya human evolution toka maisha ya enzi...
Ngoja leo tuongee na wanaume tuliooa wanawake wazuri kuona tunakwama wapi. Jana katika pita pita zangu mitaa ya kishua nikaibukia uswazi kwetu. Nikakutana na mwanadada Mashaallah analia huku...
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale. Nilifahamiana na mdada mmoja. Baada ya kuwa karibu na yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje...
Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa.
Hivyo leo nimeona nije na uzi huu...
Tunaposema "WANAWAKE WANAOJIELEWA" hua tunamaanisha wale wadada ambao wameajiriwa ama wamejiajiri wanajilipia bills na kuendesha maisha yao wenyewe..
Sio nyie watoza...
Kwanza kabisa tuwasikitikie vijana wote wanaodai ni wanaume huku wakilia kuachwa.
Inavyojulikana mwanaume haachwi bali anaacha au wanaachana na mke wake. Kwanini mwanaume hawezi kuachwa? Kwa...
Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela...
Habari za leo waungwana.
Leo naomba tujadili hii kitu.
Duniani kote mwanaume halisi mwenye genes za kiume ndani mwake na tabia za kuwa mwanaume huwa hachagui aina ya mwanamke wa kuwa naye...
Moja kwa moja kwenye mada
Huu ni ukweli mchungu, ndoa za kiislamu au makabila yanayoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmja zinadumu na zina amani kuliko ndoa za kikristo.
Mi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone.
Changamoto ni kukaa na...
Maisha yana maajabu mengi na mojawapo ni hili la watu kuongea pekeyao achana na mazungumzo ya kimya achana na mawazo ya kawaida hiki ni kitu kilichojengwa katika wizara nyingine kabisa wizara ya...
Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana.
Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka...
Katika mahusiano zipo zile up &down sasa inapotokea unaamua kumpiga mtu wako chini moja kwa moja na bado unaona anaendelea kukukera kwa namna moja ama nyingine unaamua umpige block kwenye mitandao...
Wanawake wa Bongo bhana wa ajabu sana yaani wanashoboka sana kwa Waarabu. Mimi nawaona sana hasa tukiwa batani yaani unaweza mfata akakudharau akienda Mwarabu tu hta kama choka mbaya kashajaa...
Hivi ushawahi kuachana na mtu ambaye bado unampenda? Then unaanza kukumbuka zile memories ambazo mmekua pamoja. Unakuta memories zinakuumiza lakini at the same time unaenjoy [emoji23]
Imeshawahi...
Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume.
Mnapo kula chakula kwa...
In your past relationships, have you've been..
Cheated on
Disrespected
Lied to
Unappreciated
Taken advantage of
If these patterns follow you from relationship to relationship, ask yourself -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.