Kuna baadhi ya tabia za binadam wenzako ukitaka ziwe tofauti kama unavyotaka haiwezekani!
Huwezi kuwalaum wanawake ote kwa maneno yoyote Yale! Ukiona jinsia flani au kundi flani linatabia za...
Kuwa katika uhusiano wa kimapenzi bila kusudi lolote la kufunga ndoa baadaye, ni sawa na kukimbia juu ya mtambo wa mazoezi; utatumia nguvu nyingi lakini hutofika kokote
Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume.
Hapo mwanaume nae mara nyingi...
It is not our fault that we become involved in a manipulative relationship. In the beginning everything might seem perfect but later you may notice signs which show that your partner is too...
Mambo vipi.
Wanawake ni next level. Yaani kuwaelewa ni ishu iliyowashinda mpaka wanafalsafa. Mwanasayansi kama Newton pamoja na kujua kwake hesabu lakini linapokuja suala la mwanamke lazima...
Habari wadau
Katika harakati za maisha.. nimehudumiwa na mama lishe graduate .. yaani mpaka nimemuonea wivu bwana wake..
Kizazi hiki cha slay queens binti kama huyu haitaji maswali mengi...
Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba.
Na nisikudanganye, zamani bila...
Nilikutana na huyu binti miaka 3 iliyopita akifanya kazi hoteli moja hapo DSM ambapo nilikuwa nimefikia, kutokana na macho kupenda tukakubaliana na kucheza mechi ugenini. Baada ya hapo...
Habari wadau, naandika huku nacheka jamani ah, okay niende straight kwenye mada tajwa ila kabla sijasema deep naomba niwashukuru wote mlionishauri haswa wale mlioniPM na wengine mmeenda mbali...
Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu.
Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana...
This practice does not conform to the norms and values of the society, particularly the African society.
This practice is now so common in public places like in churches and offices. Indecent...
Nimekaa Zangu Lonely naangalia VIDEO MUSIC mbalimbali. Nimefika kwenye video ya nyimbo ya OTILE BROWN - Hi. Nmestack hapo mara kadha wa kadha.
Nmeshaweka repeat Hii video ni mara ya 5 Sasa Niko...
Wadau Kuna mdada nilikutana nae humu mitandaoni tukaelezana ya kwetu mpaka na contacts tukapeana tukatafutana mpaka tukaonana!
Tukakubaliana tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sharti la...
Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuwepo.
Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe...
Poleni na shughuli. Jaman mwenzenu sijawahi kuwa mbea ila leo yamenikuta kumbe ndio mambo yanakuwaga hivi....?
Kuna Mteja alileta kazi hapa officin kwangu kwa kuwa nilikua busy na kazi nyingine...
Wasalam wana Jamvi!
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya tukimalizia weekend yetu murua kabisa!!
Niweke mada mezani bila kupoteza muda!
Siku ya leo nimefanya kitendo ambacho sikuwahi...
Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa...
A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa...
Iwe wapo katika uchumba, au wapo katika ndoa (na wana watoto) au ni uhusiano wowote wa kimapenzi. Wapendanao wamekua wakiachana kirahisi sana nowadays, mpaka sisi ambao hatujaoa tunashangaa.
Nini...
Hii mada haipo hapa kwa ajili ya kumdhalilisha mtu au jinsia fulani.Ila samahani kwa watakaokwazika.
Nakumbuka mwaka fulani(kabla sijaoa) nilitoka mkoani kuja dar kikazi.Nilipomaliza nikaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.