Watoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali...
Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa.
Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a...
Za Jumapili wapendwa,
Kama muwazima basi ni jambo la kumshukuru Mungu, ila kama unaumwa pole sana meza dawa muombe Mungu atakuponya haraka,
Niende kwenye Mada, Mimi Zero IQ siku hizi sijielewi...
Ndugu zangu!
Sina uzoefu sana, oops nina uzoefu kidogo kuhusu hili. Kukaa sehemu moja kila siku kulala kuamka wote kunapoza baadhi ya mitambo na kukosa chachu.
Fikiria venye umekuwa ukisafiri na...
Wahenga wana msemo usemao lisemwalo lipo kama halipo laja, huwa jamii yetu wanasema jamii ya watu wanaofanya kazi za udereva haswa wa safari ndefu huwa wana tabia za uzinzi sana. Maneno haya yapo...
Tangu nimeoa saizi natimiza miaka saba ndani ya ndoa yetu na tumebahatika kupata watoto wawili.
Lakini hapa karibuni mke wangu amepata habari kuwa nina mtoto mwingine ambaye nimezalia kwa...
Habari gani ndugu wana Jf
Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa?
Hapa unakuta...
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.
Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.
Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi...
Tofauti na zamani ila ndoa nyingi zinazofugwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wanaoa unakuta bado anategemea nyumbani asaidiwe.
Kuna wengine anaoa yeye na mkewe anaishi nae...
Habari zenu wakuu, naomba niende kwenye mada yetu:
Nina mpenzi wangu ambae kila tukiwa faragha michezo yote tutacheza na kwa style zote, lakini kuna hii style moja naona napataga wakati mgumu...
Ndugu zangu!
Tujilazimishe tu kusamehe na kuachilia. Sio kitu rahisi, lakini faida zake ni kwa maslahi ya kesho yako. Kwenye mapenzi unakutana na mtu ambaye humjui, unajifariji eti utamfahamu...
Salaam
Kukatika ni sanaa nzuri sana imfurahishayo mwanaume wakati akila tunda. Miaka ya nyuma sanaa hii ilikua inafundishwa na watu maalum kwa baadhi ya makabila.
Kwa sasa inafanywa na wasichana...
Habari wadau.
Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke...
Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa.
Kama uwezo upo...
Mambo vp jamiiforums.
Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza...
Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado.
Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru...
Habari za jioni wapendwa.
Mimi ni mtumishi wa afya katika moja ya hospitali zilizoko jiji la Makalla. Mwanzoni mwa wiki iliyoisha alikuja mrimbwende mmoja kumuuguza rafiki yake aliyekua kalazwa...
Hello bosses,
Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu.
Je, nini ulikifanya kufanikisha hilo?,
Mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, muda wa kupumzika, homework n.k...
Habari wadau.
Sisi tulio kwenye ndoa tunapigwa sana kwenye familia. Wanawake wamekuwa wabishi kama wenyeviti wa Serikali za Mtaa, yaani hawataki kutusomea mapato na matumizi ya familia.
Hivi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.