Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Sio maneno yangu lakini nakubaliana nayo. Baadhi ya watu hudhani akimpenda sana mtu mwingine bas ni lazima ampate au aoane nae. Maisha hayako hivyo, wakati unapanga na mwenzako anapanga, na Mungu...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
TUNDA Tunda nimelitungua, chini puu! Tunda nikalichukua, mikono juu! Tunda ninaling’atua, utamu huu! Tunda ninalilambua, uhondo mkuu! Tunda linanizingua, kwenye miguu! Tunda nimelibanjua...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Jirani kaja kalewa kaanzisha varangati kwa kumtuhumu mke wake kuwa mtoto wake wa nane hajazaa nae. Ni zao la huyo mwanamama mkimya kuchepuka. ugomvi ukaenda hadi saa sita usiku kukawa na...
10 Reactions
104 Replies
11K Views
Morning. Naombeni ushauri jamani, mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake. Naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa...
1 Reactions
99 Replies
16K Views
Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi wengi hawaifahamu. Kwa hakika...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu hamjambo? Leo nataka niongelee juu ya mikao ya mtu na maana yake na vile inavyoweza kusaidia kujua tabia yake mnapokuwa katika maongezi, Kwa kutazama picha hapo chini kama nilivyoanisha...
11 Reactions
118 Replies
22K Views
Wadau wa JF Hivi karibuni tulitembelea Tarime kwa ziara maalumu ya kutoa posa Nafurahi kuwajulisha Mchakato wote umekamilika ipasavyo na wahusika wanafurahia ndoa yao Niwashukuru kwa dhati...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari gani wadau na wanajamvi wenzangu wa jamvi pendwa la MMU? Eti mtu nimekuwa napiga naye stori kila mara kwenye ki glosari kimoja hivi. Sasa nikawa nimemuelewa, huyu dada ni mzuri kusema...
13 Reactions
281 Replies
17K Views
Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba. Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo...
14 Reactions
68 Replies
7K Views
Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana. Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na...
6 Reactions
41 Replies
6K Views
Maneno ya Matusi Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama...
10 Reactions
25 Replies
9K Views
Dalili hizi nimezitoa katika mahubiri ya mtumishi aitwaye Arnold Kisanga wa Kilimanjaro katika moja ya masomo aliyoyatoa kupitia Radio Baraka FM 107.7 tarehe 19/02/2021; Dalili za kuwa na jini...
4 Reactions
48 Replies
39K Views
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo...
36 Reactions
171 Replies
18K Views
Amani itawale kwenu nyote Wadau Nimeiokota pahala hii issue then nimeona niilete kwenu wadada kama topic. Hivi ni kweli nyie wadada huwa hamfuti namba ya simu haraka na kusahau. Regardless wewe...
3 Reactions
79 Replies
9K Views
Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa. Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato). Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wanajanvi wenzangu, yaani hapa nilipo yani kila nikifikiria nimeachwa naona ndoto, akili haitaki kukubali lakini jana ndio nimejua nimeachwa kweli. Sasa naanzaje kuubali ukweli kuwa niko...
8 Reactions
103 Replies
9K Views
Habari gani Wakuu Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale! Hebu...
6 Reactions
83 Replies
5K Views
Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite...
15 Reactions
62 Replies
6K Views
Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha. Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku...
9 Reactions
46 Replies
6K Views
Mahabuba, Mpenz, La Aziz, My Love, My Heartbeat, My Handsome, My Best Best Friend, My Soulmate, My Man, My King, My One and Only... My Pumpkin, My Darling, My Breath... Most of All, My...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Back
Top Bottom