Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jamani jamani, kuna mdada kaachana na boyfriend wake, hata mwezi haujapita rafiki wa yule jamaa akaanza kumtongoza, pamba moto hatari, demu akamuambia siwezi toka na Wewe kwa sababu wewe na ex...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani kuolewa raha sana ila huyu mtu akianza maneno umekufa. 1. Jiko lake 2. Mume wako (mtoto ni wake) Leo amekuja mie nawatoto tunawaza kufunga vyumba vyetu nakuhamia kwa mama yangu abaki kwa...
9 Reactions
84 Replies
44K Views
Hii Kitu nilitaka kuipost hapa miezi kadhaa iliyopita sema nikasahau, leo kuna jamaa kanipigia anataka nimtumie dolali za mchango wa harusi ya binamu yake ambaye hata simjui wala sijawahi msikia...
4 Reactions
2K Replies
201K Views
Habari wana JF. Leo kuna vitu ilinibidi niwaeleze wale wanaume wenzangu wenye akili za miaka ya tisini maana huwa wanapata shida sana kusaivu katika mapenzi kutokana na mabadiliko ya kitamaduni...
14 Reactions
19 Replies
2K Views
Aisee sio jambo jepesi kulipokea pale unapokataliwa na mtu ambae umevutiwa nae, iwe kiurafiki, kimapenzi, uchumba hata ndoa. Kuna wanao tafuta wapenzi, marafiki na wanao hitaji ndoa, lakini kuna...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
So juzi TULIKUWA Juliana na marafkizangu wamenitoa Early Birthday .... Huwa sipendi kwenda Juliana maana Juliana ya skuhizi sio kama ya zamani, Ile ya zamani ilikuwa classy, cool, nice, skuhizi...
5 Reactions
113 Replies
14K Views
When some Women turn 40 or 50 years, something major shifts in their personality . They become bolder, more rebellious , more religious, more focused , more opinionated and more emphatic about...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata...
11 Reactions
117 Replies
10K Views
Habari wadau Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa. Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna msemo usemao kuna baraka huwezi kuzipata ukiwa katika mahusiano ila ukishaoa milango ndiyo inaanza kufunguka na kimaisha inakuwa ndio hatua yako ya kwanza kutoka kimaisha Je, ni kweli...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Yaani nimejikalia hapa ghafla tuu nimeingiwa na tamaa ya kupendezaaaa💅👗💄👙👚👠👛 Halafu nikiwa natamani baba chanja aingiwe na hii tamaa ya kunipendezesha nikakutana na shekhe mwenye nasaha zake😃😃😃...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Rafiki yangu alikwenda kusaidia nyumbani kwa mtoto wake wa kiume. Hawakuwa na msichana wa kazi hivyo mtoto wake ambae ndiye mume alimuomba aende mjini kwa muda. Ameishi miezi mitatu, mama mke...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya wamama wanasikitisha sana. Ukikuta ana binti mzuri mzuri humfanya kitega uchumi. Binti ndio mwenye sauti hapo nyumbani maana yeye ndio provider wa kila kitu. Binti hana kazi ya...
11 Reactions
49 Replies
5K Views
Ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Hivi karibuni nimemshuhudia kwa macho yangu mama mtu mzima (ovyo) 'akimuuza' binti yake kwa mwanaume. Na kibaya zaidi, kitendo hicho kimefanyikia nyumbani...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimekuwa na Jamaa ya ambaye tumeishi wote toka shule ya Msingi , mpaka sekondari. Kwanzia kidato cha tano ndipo mtengano ulipotokea baina yetu kwa kuwa tulipangwa shule tofauti , lakini uswahiba...
1 Reactions
1 Replies
997 Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamuri ya Muungano wa Tanzania (Kiitikio - wote) Ama baada ya salamu, dhumuni la andiko hili ni kuleta hoja niliyoletewa na rafiki yangu wa kiume akiomba ushauri kwangu...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakuu mimi ni miongoni mwa binadamu nilielelewa kwenye mikono ya MAMA wa kambo. MAMA yangu yule nathubutu kusema alikuwa zaidi ya MAMA wakunizaa, ni MAMA alienipigania na kunilea katika misingi na...
18 Reactions
60 Replies
6K Views
Nina matukio kadhaa ya namba hii, imekuwa ni kama hulka sasa kwangu. Ni muda kidogo umepita, nikikuwa nina mshkaj flan ivi, mtoto wa kihaya. Mzuri n bonge la shep ila ni mwembamba. Alikuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hadi leo naona kama ndoto.............! Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1991 wakati huo nikiwa nafanya kazi kwa mtu binafsi, Muasia mmoja. Nakumbuka katika mojawapo ya majukumu yangu, nililazimika...
68 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari wakuu, Mimi toka nifanye mapenzi leo nimekutana na kitu cha tofauti msitu siyo msitu ila wenye kivuli cha tofauti. Kuna ka mdada na siku kama nne na katongoza, kamemaliza form six mwaka...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom