Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Niende kwenye hoja, kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisoma vyuo vya ndoa. Ninavyojua mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha...
16 Reactions
75 Replies
6K Views
Huu niuzi wa ukweli. Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli. Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio...
23 Reactions
125 Replies
12K Views
Mambo yasiwe mengi, na mengi yasiwe mambo. Carlos The Jackal nasemaje, wewe kama una mke yaani umeoa, halafu unajua kabisa mkeo kazi yake ya kawaida tu, nasio kwamba wee mwanaume una pesa kivile...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Bwana bwana! Enzi za uhai wangu, longalonga time na tigo. Unatega alarm ikuamshe saa NNE usiku, full kujiachia unaambiwa ni bure baada ya dakika TATU. Mkichoka mnapumzika bila kukata simu...
26 Reactions
179 Replies
14K Views
Habari wakuu Hebu leo tujadili kidogo wakuu Huu ujasiri wa mtu kutembea/kulala na mke au mme wa mtu unatoka wapi? Najua majibu yatapatikana hasa ukizingatia JF ni jukwaa lililojaa waungwana
2 Reactions
86 Replies
9K Views
Wenzetu wakitendwa kauli mbiu "watafte pesa" mapenzi yatajileta. Wanawake je tufanyaje? Iko hivi My childhood friend Zuwena (jins sio halisi) kwao wako vizuri uchumi kati Baba yao alitangulia...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari!! Kumekuwa na tabia kwa wanaume wengi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au kuwacheat wapenziwao! Wanaume wamekuwa na sababu mbalimbali za kufanya hivyo!! je, we mwanaume mwenzangu, ni mambo...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende...
18 Reactions
92 Replies
16K Views
Kuna msichana nikikutana nae maeneo flani katika mizunguko ya hapa na pale nikatokea kumpenda, ingawa sikumuweka wazi palepale ila nilifanikiwa kupata mawasiliano yake na yeye mwenyewe ndie...
0 Reactions
18 Replies
37K Views
1. Pokea pongezi Wanaume wengi wanatabia ya kukataa kupokea pongezi kutoka kwa mwanamke. Balada ya wewe kuguna ama kutojiskia huru wakati mwanamke anakupongeza, mbona usitumie nafasi hii kutumia...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Rafiki yangu wa karibu, aliachwa na mwenzi aliyemhudumia kwa miaka takribani sita (6) hivi. Alianza nae mahusiano binti akiwa amemaliza kidato cha nne, aliapata ufaulu wa daraja la nne (div 4...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya...
3 Reactions
88 Replies
13K Views
Kuna Uzi ulishushwa hapa kwamba mwanamke anayekukataa Muda mrefu achana naye..nataka niwape Siri mwanamke siku ya kumtongoza hawezi kukukubali achana naye fanya mipango umle kwanza na siku ya...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Malezi ya watoto ni elimu muhimu yenye ukurasa unaojitengemea. Tumekuwa na kujifunza darasani maada nyingi na muhimu katika maisha yetu, bahati mbaya ni kuwa suala la malezi ya watoto, ambalo kwa...
10 Reactions
18 Replies
8K Views
Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini baadaye akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo Polisi. Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki. Baada ya...
2 Reactions
210 Replies
14K Views
Kanuni ya msamaha ipoje maana kuna mtu nimemkosea sana nimemdhalilisha familia yake sasa kwa bahati nzuri au mbaya nilikuwa nimelewa kiasi cha kutojitambua na hivyo kusababisha kero. Ila kiukweli...
0 Reactions
3 Replies
680 Views
  • Closed
Kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto namba 21 ya 2009, Wazazi na walezi wana wajibu mkubwa wa kuhakikisha kwamba watoto wanapatiwa huduma zifuatazo -Wanapelekwa kwenye chanjo, -Wanapatiwa huduma za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu za usiku huu nimekosa usingizi, kisa watoto wangu na dada wakazi wamekula kichani cha ndizi kilichodondoka juu ya bati letu. Kisa kilianza hivi kuna mmama mmoja nilitoka kumwambia...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwa uzoefu wangu mdada akikuzungusha wakati wa ww kumtongoza bhas huyo Mdada hana hisia za kimapenzi na wewe na kakuona wewe ni option yake ya 867 kama uhusiano alionao ukibuma, akikuzungusha...
9 Reactions
19 Replies
6K Views
Back
Top Bottom