Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jambo la muhimu tuwe wastaarabu. Hasira na chuki usizilete kwa mtu mgeni katika maisha yako.
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Salaam, Niende moja kwa moja kwenye uzi. Kila mwanaume au mwanamke kuna vitu anavutiwa navyo kwa jinsia tofauti. Kwa mwanamke huwa nikiona tu mistari ya nyuma ya goti nakuwa hoi, lakini pia...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
1. Akikuomba hela au vocha ukimtumia hakwambii kama amepata mpaka umpigie simu na usipopiga simu anapiga kimya 2. Akikosea au kukosea ukimweleza ukweli hawezi kukuomba msamaha zaidi zaidi atapiga...
8 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu Natumai mmeamka vema kabisa. Mgogoro Kati Bi. Jackline Ntulyabaliwe ( msanii k-lyn) na Familia ya marehem Biliionea mfanyabiashara Bw. Reginald Mengi (Mzee Mengi) umechukua sura mpya katika...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wakuu Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea nje. Nikapambana kila namna lakini mtoto...
13 Reactions
53 Replies
5K Views
Siku zote nimekua nikilalamika humu mme/mwenzangu kutohudumia nyumbani na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma. Iko hivi mimi na mwenzangu tulikua tunaishi pamoja tangu...
19 Reactions
145 Replies
17K Views
Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka! Unafikiria nini juu...
4 Reactions
212 Replies
21K Views
Girls! You run this World right? Run it with your Brain! Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat sana. Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya Kucheat maana wao...
14 Reactions
161 Replies
13K Views
Wakuu usiku wa kuamkia Leo nimeota binti maridadi kabisa wa kikurya nashiriki nae sex. Wale wataalamu ww kutafsiri ndoto nisaidieni Maana mimi ni mmakonde msomi Sasa na wakuyra wapi na wapi
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii. Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa...
21 Reactions
218 Replies
22K Views
Nimetoka job nkafika home sa kumi hiv au kumi na moja kasoro..nkasema ngona nijiegeshe..hata viatu skuvua Hee..nikapata usingiz mzito sana hlaaf ndoto naota nmekutana et na x wanfu mitaa ya...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Dada yangu kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mume wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wa daraja la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha...
7 Reactions
84 Replies
12K Views
Unakuta wao wana waume ( mabwana ) zao na huenda kila siku ( 24/7 ) tu wanangonolewa nao, lakini wakikuona tu mpangaji wa kiume ambaye hujaoa na wala hutarajii kuja kuoa leo, kesho na mtondogoo...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuwa na mwanamke asiyependa gharama ni ndoto ya kila Mwanaume katika sanaa ya kudeti. Kwa kawaida wanawake aina hii hawana drama wala stress lakini je ni muhimu kweli kuwa nao? Hebu jiweke...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
SABAU KHERI,Wana mmu wooote. Fuatana Nani katika huu mkasa unaohusu wanawake,nanyi wanawake msome msikae mbali. Huku kisa,kimetokea kwenye familia yetu. Marehemu mzee,alioa mwanamke mwingine...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kutokana tafiti mbalimbali za wataalam wa Takwimu (worlddata.com), mifumo ya uzazi ya wanawake(Gynaecologist),maswala ya ngono na mahusiano(sexologists). Ni kwamba, Kwa zaidi ya 70% ya wanawake...
6 Reactions
103 Replies
38K Views
Ukitaka kujua unapokwenda muulize anayerudi, Angalau vijana wapate ujuzi, hivi wale wanao date na wapenzi / mfano fiances zaidi ya mmoja ili kulinganisha kama ni yupi mnaendana zaidi Ni njia gani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kaka zetu na vijana wetu wa kiume mpo? Baba mchungaji keshasema hivyo Kuna msemo babu yangu alikua akiwaambia wajukuu zake wa kiume "... kabla hujaja kuniambia unaoa uniambie una mali gani maana...
11 Reactions
174 Replies
10K Views
Hapa sizungumzii warembo maarufu kama kina mobeto ambao watu wengi tunawajua, nazungumzia mabinti ambao ni raia wa kawaida tu, followers hata hawazidi elf 1. Wengi ni wadogo wa marafiki zangu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom