Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu Habari Ni mwezi sasa nikiwa kwenye mahusiano na binti wa miaka 24 tulikutana Arusha kwenye inshu ya kikazi. Tulitokea kuzoeana kiasi kwamba ilifikia hatua akanitambulisha kwa rafiki zake...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
[emoji1318] WAKUU, MAKOSA MATATU YA KIMATAIFA YANAYOWAANGAMIZA MWANAUME ULIMWENGUN KWA KIWANGO CHA FLYOVER:: 1) KOSA NAMBA MOJA: KUSOMESHA MWENZI- KAMWE USIJICHANGANYE KUSOMESHA MWANAMKE...
23 Reactions
21 Replies
3K Views
Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana. Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda...
18 Reactions
161 Replies
15K Views
Kama tujuavyo Binadamu hujifunza vitu vingi kutoka kwa wazazi au walezi wake hata walimu wa Shule za Awali/madarasa ya awali katika Shule za Msingi. Je kwenye mapenzi je ni nani alikufundisha...
10 Reactions
165 Replies
50K Views
Nawasalimu kwa jina la JamiiForum. Miezi takribani mitatu kama sio miwili kuna dada nlitokea kumpenda, ni dada wa kichaga ambaye nilibahatika kukaa nyuma yake wakati tukifanya jaribio...
3 Reactions
87 Replies
6K Views
Husika kichwa cha habari hapo wanajamnvi huwa tulio wengi tunasikia hawa wadada wakisema kuna kitu ambacho mpenzi wako akikuletea yaani mwanaume hata kama ni kidogo au cha kawaida utamuona kama...
5 Reactions
65 Replies
8K Views
Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu...
12 Reactions
74 Replies
5K Views
salaam wakuu, NI IPI COUPLE NZURI KWAKO? 1. Couple ya mwenye wivu VS mwenye wivu. 2. Couple ya mwenye wivu VS asie na wivu. 3. Couple ya asie na wivu VS asie wivu. Katika mahusiano kila mtu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari, JF ni sehemu sahihi ya majibu sahihi. Nipo kwenye hatua za mwisho kufanya maamuzi ya kupata mama watoto. Wapo mabinti wawili imekuwa ni mchuano mkubwa wa kupata selection. Yupo mmoja...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Wakati kila siku mara moja au zaidi huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na...
7 Reactions
20 Replies
5K Views
MWAKA 2019 JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
(Nimeiona sehem) Tazama jasho linavyomtoka topeni. Yuko kazini. anapigana na maisha apate senti kadhaa. Ni MWANAUME! Ameumbwa kupambana na kutafuta na akitoka hapo ana ujira unaosubiri...
19 Reactions
60 Replies
5K Views
Unapokuwa na mwenza mwenye tabia ya kuchukia chukia kila wakati yaani jambo dogo ameshakasirika wakati mwingine ni jambo la kawaida tu lakini yeye amechukia/amenuna hataki umsemeshe kuvimba yaani...
6 Reactions
85 Replies
41K Views
Hebu tupeni uzoefu ilikuwaje haswa ukaachwa kimasihara? Mimi nakumbuka siku moja Mjomba wangu amejiandaa kwenda kanisani kuoa na kila kitu kimelipwa ukumbi, chakula, maandalizi yote yaani binti...
65 Reactions
342 Replies
49K Views
Habari za wakati huu wana JF? Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku. Ngoja niwape kisa kidogo...
1 Reactions
8 Replies
942 Views
Nnawasalim sana wakuu, nnaomba niende kwenye mada moja kwa moja. Ni hivi mimi ni mwajiriwa na niko mkoa fulani, familia yangu iko Mkoa Mwingine. Sasa baada ya kuja hapa ktk pitapita zangu...
62 Reactions
104 Replies
11K Views
Wakati ambapo unadeti mwanaume kuna ile tabia ya ghafla inayokuja ambayo unajaribu kumkosoa kila kitu ambacho unakiona si sawa kwake ili uweze kuendelea na shani yako ya kumtafuta mwanaume alie...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenzi, ungejisikiaje? Leo mwana JF mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya...
25 Reactions
402 Replies
38K Views
Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa! 1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini? 2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Je ishawahi kukutokea? Unakutana na mwanaume ambaye anaonyesha kuwa anapenda kutoka deti na wewe. Mnaspend miezi mitatu mkiwa pamoja, mnatumiana jumbe za sms na kemia ya mapenzi mnaijenga kuwa ya...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom