Kuna kautafiti nimekafanya katika mahusiano yeyote yale iwe uchumba au ndoa ikitokea mwanamke amefanikiwa basi penzi litayumba au litavunjikaa.
Shida huwa ni nini lakini?
Rafiki na ndugu yangu mpendwa,
Nilikuja nyumbani kwenu kama tulivyohaidiana ili nipate kukuaga lakini kwa bahati mbaya nimekukosa, nilikuja kukuaga kwa kuwa hutaniona tena kwani...
Heshima kwenu washikadau
Nina mpenzi wangu ambae tupo kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, huyu binti wakati naanza nae mahusiano alikua na mwili ambao ni standard lakini kwa siku za...
Hi Pals,
I hope mko poa Right.
Kusema ukweli mimi ni kijana ninaye ishi uswahilini,na kutokana na kuishi uswahilini imenifanya nijifunze vitu vingi.
Mimi huwa sishindi nyumbani ila weekend ndio...
Hii tabia ya wifi kuingilia ndoa za ndugu zao na kuleta mtafaruku ambao wakati mwingine kupelekea kwa ndoa nyingi kuvunjika inazidi kushamiri kila uchao.
Utakuta hawa mawifi ndo chanzo cha...
1-Mwanamke ambaye anakuja kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari kisha akaamua kula nawe,
huyo mwanamke oa.
2-Unakwenda naye hotelini na anaagiza ugali dagaa na maji tu, huyo oa kwani...
Kunae demu nimejuana naye kwa miezi 6 sasa, kiufupi ni Mwanamke wangu na mahusiano yetu yanaenda poa kabisa.
Yeye ni mtu wa Arusha but anaishi Dar kwa ndugu zake, Majuzi kati kulitokea...
Kuna mwanaume ananipenda sana naona tuna match dini na umri japo umri tumepishana mwaka 1 Mimi nimemzidi.
Shida anavuta bhangi sijui ni mkumbo ila ni mpole mstaarabu. Naweza kumrekebisha au...
Unakuta Umelala na Mama yake Kitandani mnapiga ' Soga ' Kenyewe kanalala lakini ikitokea tu pale Wewe na Mama yake mnataka Kulirudia Zoezi lililomleta Yeye Duniani hapa ( namaanisha Kufanya...
Habari za muda huu wana MMU,
Twende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu,
Awali nilitoaga uzi unaosomeka NIMEZAMA KWENYE PENZI LA MAMDOGO WANGU ,
Jamani sitaki kuamini kuwa ni mimi niliefanya...
Daaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia iko kasi sana.
Enzi zetu mnachati na mpenzi wako kwa sms mpaka unahisi Mungu dunia aliiumba kwaajili yenu tu.
Sasa hivi mkichati kidogo tu...
Tusiache kutoa ushauri pale panapoitajika.
Kuna anko wangu mmoja nilimpa ushauri kuhusu mwenendo wa mke wake kwa siku hiyo nilionekana mpuuzi leo, yamemkuta mke wake kamtumia watu wampore pesa na...
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.
Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio...
Habari wakuu.
Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa...
Ukitaka sherehe ujipange sawa sawa.
Hakikisha una pesa ya kutosha kuchukua gharama za sherehe pale Mambo yanapoenda tofauti.
Vinginevyo utajikuta unawachukia watu kisa hawajakuchangia wakati sio...
Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.
Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye...
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako...
Jumamosi nilipata mgeni binamu yangu kutoka Dodoma, ikabidi nimtoe out kubadilishana mawazo, tukiwa out nikakutana na ex-wangu.
Duu akanishangaa sana, mara ya mwisho kukutana naye miaka miwili...
WANAUME wengi wanaamini wanawake, kwa kawaida, ‘wanapenda hela.’ Kwamba ukiweza kumhakikishia mwanamke 'uhakika wa kiuchumi' unakuwa umemaliza. Ingawa hatuwezi kupuuza ukweli kuwa uhakika wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.