Huyu jamaa alipotea toka may 15 mwaka jana na tuliachana naye pale Mabibo Hostel kifupi jamaa ali graduate Mzumbe akaja Dar kutafuta job ila akaishiwa pesa akishindwa kuendelea na apllication...
Kama ilivyo Mahusiano kufa pia Mahusiano hubadilika uliyemuamini juzi leo haaminiki tena mpka unashangaa lakini ni muhimu tu kujua kuwa Mahusiano yanabadilika wapo watu wapo kwenye ndoa lakini nje...
Habari zenu, mimi ni kijana mwenzenu msomaji mzuri sana humu ila si muanzishaji sana wa nyuzi kuna jambo kidogo huwa linanitatiza wanawake niliowahi kuwa nao wengi huwa na mambo mengi yaani...
Wakuu ipo hivi nilisafiri toka Jutano mkoa fulani plan ya kurudi ilikuwa Jumamosi kesho jioni lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jioni.
Sasa...
Amini mkuu, mwanamke ambaye umekutana nae kwa mara ya kwanza....Hakujui nawe haumjui.
Lakini unamset na anasetika, mnaenda maeneo ya faragha....Ajabu mnakwichi na analala usingizi mzito wa fofofo...
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada...
Jamani yaani kila ninapomuona huyu mdada, nachanganyikiwa sana. I really love her, sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.
What...
Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba.
Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti...
Wapendwa habarini za kazi, nipende kwenda kwenye hoja yangu, wazazi wengi huwa wanasomesha watoto kama ni sehemu ya uwekezaji wao ili baadaye mtoto akipata kazi amtegemee kwa kila kitu.
Binafsi...
Habari za mida wana JamiiForums.
Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.
Kifupi nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila...
Katika mademu kumi nitakaowatongoza Basi nane au tisa wananikataa hii Ni kwa sababu Mimi waga nikikutongoza Leo au nikikupenda leo nataka uingie geto siku hiyohiyo na ndo maana ndugu zangu kazi ya...
#1 Wakati wowote mnapokosana, ni wewe ndiye unayelaumiwa.
Ukiwa na huyu mwanamke na kila wakati mkiwa mnagombana, mwisho lazima uchukue lawama hata kama kosa ulilofanya si lako. Na utapata...
Mimi ni binti wa miaka 23 sasa. Nimekuwa kwenye mahusiano na kijana wa miaka 32. Mahusiano yetu ni ya mbali.
Yeye yupo Dar ila mimi nipo mkoa wa mbali sana ambapo kukutatana kwetu ni pale tu...
Kwanza mimi ni mgeni hapa but hii Forum naona iko na good advise. So mimi am married naishi ulaya na huwa tunarudi sana nyumbani Africa kutembelea wazazi na marafiki. Once in a year. Nimeolewa na...
Mwanzo nilikuwa najua sitapata shida kupata mchumba kwa kuwa Mimi ni handsome boy, genius nina akili Sana nikiamua hata kuwa professor nakuwa na hivi JF imeniongezea madini na pia kwetu tuko...
What is a 'female orgasm'?
Orgasm is really a reflex reaction that involves muscular, hormonal, blood flow, emotional, psychological variables, and petrochemicals all in one coordinated event...
Habarini za uzima wakuu, rejeaa mada husika hapo juu.
Kumekuwa na misemo mingi inayozungumzia athari za uzinzi ,mmojawapo ni "uzinzi gharama".
Masaa mawili au chini ya hapo Leo tarehe 30 05...
Ingawa yapo mambo mengi unayopaswa kumpa mtoto wakati ukimlea, leo tunazungumzia mambo unayoweza kuyaita tunu za maadili. Tunu hizi zitahakikisha anakuwa mtoto muadilifu na mtu mzima mwenye kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.