Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwamba ukirejea Nyumbani Kwako au ukikutana tu na Mkeo au Mpenzi wako na ukaona amechangamka sana huku amezidisha Mahaba ( Upendo ) Kwako hapa ina maanisha ametoka Kukusaliti au anaenda Kukusaliti...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa, Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Ndugu zangu najianda kuitwa baba kijacho siku si nyingi sasa nimeanza safari ya kulea ujauzito nimeshatia mimba mtoto wa mtu baada ya miezi tisa nakaribia kuitwa baba hivyo basi naombeni mwongozo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Closed
Mtie moyo, shika mkono wake, ongea naye taratibu na umuoneshe jinsi ya kuvuta pumzi nyingi na kuachia polepole Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji na kuwasiliana na wengine
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Za jioni wakuu, Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa...
7 Reactions
109 Replies
10K Views
Ndugu zanguni members wenzangu me ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nasijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote na sio kwamba labda nina tatizo la hasha ila tu nimeamua iwe hivyo mpaka pale...
10 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwa wale wanaume wenzangu mliopo katika mahusiano ya muda mrefu na mnawapenda sana wapenzi wenu na hamtaki kuwapoteza basi tieni mimba hao wachumba zenu kama vishika uchumba mtoto akizaliwa mtajua...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwema ndugu zangu. mwanamke anapoachana na mpenzi wake humchukua muda mrefu kumsahau mpenz wake .kwa hyo unapomtongoza akakukubalia usifikiri amekupenda kabsa . Mnapoanzisha mahusiano yey akili...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wadau. Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi. Kwanini? Hebu...
5 Reactions
167 Replies
28K Views
Hello, Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara. Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Sehemu kubwa ya maisha yako kama mfanyakazi unaitumia kwenye eneo la kazi. Ingawa inategemea na aina ya kazi unayoifanya, ni wazi muda mrefu kwa siku unaoutumia kutekeleza majukumu yako unakuweka...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za mchana wadau. Ni hivi ni takriban miezi sita Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu,tunapendana Sana na tumespend Sana kipindi cha miez mitano iliyopita bila mkewe kujua. Nikapata Safari...
7 Reactions
132 Replies
9K Views
Habari za wakati huu wanaJF Binafsi nipo mzima wa afya naamini pia nanyi mu wa wazima! Kuna mdada nilifahamiana naye kutoka kwa aliyewahi kuwa mpenzi wangu. Ushemeji wetu ulidumu kwa muda...
9 Reactions
107 Replies
10K Views
Ninavyozungumza hivi sasa kuna binti tayari ana ujauzito wangu mpaka anakuja kujifungua nitakuwa nina miaka 35 na huyo ndio atakuwa first born wangu na mpaka sasa sijui kama nimewahi au...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ningependa Kufahamu Labda Mimi Tu Ndoa Yangu Au Ni Sawa Na Wengine, Ni Mara Ngapi You Are A Having Sex With Your Wife Or Husband In A Week? Sometimes I May Think Am Right Kumbe Am Abnormal Na Muda...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja. Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara...
7 Reactions
106 Replies
9K Views
Wakuu Pasaka ndio hiyo nipo zangu ndani hapa nna flu siielewi elewi basi inanikera kwel kwel. Sisikii hata hamu ya kilaji na mvua hii dah sie watoto wa daslam hatupendagi baridi na mi mvua. Sisi...
44 Reactions
166 Replies
19K Views
Habari za wakati huu wakubwa Mie ni kijana wa kiume mwenye miaka 28, Mtoto wa Pili katika familia yetu ila Kaka (First born), Baba na Mama walishatangulia mbele za Haki, nipo na wadogo zangu...
4 Reactions
94 Replies
7K Views
Hili ni swali la watu waliokomaa kinapenzi na wenye experience na wenye ndoa. Kama haupo kwenye Hayo niliyotaja usijibu Hivi ni Kwa nini utakuta mwanamke amesoma ana kazi nzuri na anaheshimika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu nipo kwenye mahusiano nisiyoyaelewa kwa maana kuna mwanamke nipo nae nampenda sana ila yeye inaonyesha hanipendi lakini nikijitahidi kusema nimkaushie nashindwa. Mwanzoni alikuwa ananipenda...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom