Wakuu habari zenu, niende moja kwa moja kwenye topic
Mimi kwa sasa ninaishi mkoa tofauti na mpenzi wangu, sasa siku ya tarehe 26 huyu dada aliniambia anaenda Dar kufata mzigo wa viatu na pia...
Salamu Wana jukwaa.
Niende kwenye maada moja kwa moja,kama unavyojua kwa wale tuliozaliwa vijijini mwanzoni mwa miaka ya sabini mpaka mwanzoni mwa miaka ya themanini.Shule za sekondari zilikuwa...
Kwanza hakikisha unatafta mwenza (well for men only)
1. Mpite miaka zaid ya 10
2. Elimu yake kibongo bongo awe La saba or form4 or six
3. Awe hana kazi inayoeleweka yaan wewe ndio mtaftie mchongo...
Kwanini unafanya hivo? Unakuwa na malengo gani?
Mimi nakuaga bize ila siku nikitulia naanza kuwasaka mmoja mmoja. Bahati mbaya unakuta wamebanwa na kazi au tayari wana wapendwa wengine na wengne...
Habarini,
Jana katika kupitia taarifa za group, la shule niliyosoma secondary, nakutana na ujumbe kuwa naima, anaolewa jumamosi ya leo, nimekosa raha ndugu zangu, kwani ni miaka takribani 13...
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit...
Tukiwa tunaadhimisha siku ya hedhi duniani mojawapo ya Jambo ambalo ningependa kulizungumzia ni uelewa wa wanaume juu ya matumizi sahihi ya taulo za kike au ped /sanitary pad.
Je, wewe kama...
Sio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi...
Wadau eeh! Its time.
Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo.
Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa...
Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka...
Na imani mu wazima wa afya Kama kawaida tupatapo upenyo lazima tulete story kijiweni ili kijiwe kizidi kunoga kwa sisi wazee wa mitandaoni [emoji2956]
Basi kipindi hicho Ni kijana mdogo ndio...
Wakuu Kuna binti fulani wife material nimempenda Sana nimeona nijiingize na Mimi katika mahusiano mchumba nishamtongoza na sasa Bado ananifikiria fikiria kwa kuwa Bado muoga wa haya mambo Basi...
Mimi nimeoa yapata miaka 5 sasa na tumejaliwa watoto wa 3 katika ndoa yetu na mke wangu, sasa shida inakuja imetokea nimefanya kosa na kuomba msamaha kwa mke wangu, itachukua hata siku 4 au 5...
Habari wakuu
Kuna binti tulikua kwenye mahusiano kama mwaka mzima ila niliamua kuyavunja baada ya kutoridhishwa na mambo flani yaliyotokea mbeleni.
Sasa baada ya kuachana kuna line nyingine ya...
Habari za siku wana JF,
Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake...
Nawasalimu kwa jina la nchi,
Kupitia magroup fulani fulani huko Facebook na mtaani,nimeona kwa sasa ni kawaida kukutana na mtu mwenye majina ya pande mbili za kiimani.
Mfano, Josephat Rashidi...
Siku kadhaa zilizopita, kuna wanandoa wawili walikuja kupata huduma ofisi ninayofanyia kazi. Katika huduma hiyo kuna fomu walitakiwa kujaza kila mmoja, na kulikuwa na k kipengele cha kuzaja tarehe...
Kama ilivyokuwa 2020 vijana wengi waliowahi kuishi ndani ya mahusiano ya muda mrefu mengi yalivunjika na asilimia kubwa tulioumia ni sisi wanaume kwani hakuna kitu kinachouma kama kumuona mpenzi...
Wanajamvi,
Umofia kwenu!
Mimi ni mwanaume mtu mzima kidogo, yaani miaka 44 hv.nimeoa na nna watoto. Mwaka 2015 hapa nyumbani kwangu nilipata shida ya msichana wa kazi za nyumbani, yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.