Wanaume hawa wanapoenda kununua viwanja hawatuagi, na wakati mwingine ananunua akifariki bahati mbaya unashangaa kumbe wake mko sita wakati unajua uko peke yako" - Sophia Mwakagenda ( Mbunge JMT )...
Stori yangu inaanzia mbali sana kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi
Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana macho...
Habari wakuu?
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake...
Binafsi najihisi mwenye kukosa bahati. Pesa sio tatizo sana kwangu wakati mwingine najiona mimi ndo mwenye matatizo!
Nimepitia mahusiano kadhaa lakini hayafikii malengo. Sijui Mungu amepanga nini...
TAMBUA JINSI RANGI ZINA NGUVU ZA KUCHOCHEA HALI AU TABIA YA
MTU. Rangi ni zana inatumika katika Saikolojia ya chochea hali au tabia ya mtu au watu siku
hadi siku.Rangi inachukua nafasi kubwa...
Ndio mimi nilieleta uzi humu ya kuwa nilimuacha lkn hisia juu yake zikiwa bado ni kali sana
Nilijutia kumuacha na nikaona ya nini niumie angali badonampenda!, nimemrudia na mapenzi hivi Sasa ni...
Kila tukikosana na nikataka tuachane basi unakuja gheto kuomba msamaha na mara zote msamaha nautoa bila hata kuongea chochote yani ukinipa tu na msamaha natoa!.
Kusema kweli Grace sijapenda tabia...
Wana MMU,
Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.
Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye...
Kuna mdau mmoja alitoa hoja ya kunyimwa mzigo kwa mazingira yaliyofanana na yangu. Nilimjibu kwa dhihaka na ujeuri. Anisamehe bure popote alipo.
Haka kabinti sijui ni bikra au ana tatizo gani...
Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa...
Wasalaam Wakuu.
Katika dunia ya sasa, ngono imekuwa ni kibwagizo katika maisha ya binadamu.
Iwe jinsia ke au me, wote wanapenda kufanya ngono kuliko inavyostahili.
Kufanya mapenzi ni tendo...
1. Huyu nilimpa 2018. Nilimpata akiwa ananyonyesha. Alinipa sababu ya yeye kuachana na baba mtoto ni kwasababu alimuacha tu akaenda kuoa kwengine ila alinishangaza, maana nilimkuta na mtoto wa...
Habari za weekend wananzengo, hope fully mko poa as usually
Leo nimeona nishare na nyie wananzengo kuhusu mahusiano sugu kwanini watu wanashindwa ku move on yaani unakuta watu wameachana ila...
Habari zenu! Naona wanaume tunaendelea kujitengenezea maisha magumu, maisha ya kuhangaika na ada za watoto Hadi uzeeni.
Kwanini naongea hivi? Kama mtakuwa na kumbukumbu Kuna siku niliwaletea uzi...
Hivi hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda peke yako au kimada, wife yuko home au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio...
Marry now with the little you have. Don't wait to be a millionaire, Have kids early so you can grow with them. Grow with your kids and succeed with your wife.
You will never finish making money...
Unakuta mwanamke anaolewa na mwanaume, ambaye amezaliwa akalelewa akasomeshwa na wazazi wake. Amekuwa pamoja na ndugu zake dada, kaka tangu akiwa mdogo.
Halafu yeye anapoingia anataka yeye ndo am...
Bahati mbaya sina bebii kipindi hiki so valentine imenikuta nikiwa singo. Nimepiga kiporo changu cha pilau nimepanda kitandani kuusaka usingizi.
Mwenzangu wewe uko wapi mda huu?
Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi.
Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she'...
Saizi nimeamini kwamba ngono na vitendo vyovyote vinavyohusiana na ngono
Asa ikiwa mapema humpoteza Mtu kimalengo ya baadaye, masomo, stara, hofu ya Mungu etc
Hii kutokana ushuhuda wangu kabsa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.