Screenshot itasaidia ujumbe wangu kueleweka kwa wepesi. Hii ni kero yangu kubwa tu. Mapenzi motomoto upeleke kwingine halafu bajeti upeleke kwingine. Hii sio sawa.
Mimi kwenye hili huwa sitaki...
Kuna faida na hasara gani kuoa mwanamke aliyezaa na wanaume wawili tofauti mimi nikimuoa nitakuwa mwanaume wa tatu na nikizaa nae atakuwa amezaa watoto wa Tatu kwa baba watatu.
Je hii...
Nawasalimia Wana jf wote nikitumai mu wazima na weekend hii tulivu. Mimi ni member mpya katika jukwaa hili kwa kuandika na kuchangia maada lakini nimeanza kuichungulia Jamii forum tangu mwaka...
Mapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza/anaweza kuyabeba na kuyavumilia.
Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa...
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Katika utafiti kidogo nilioufanya nimeweza kugundua mengi kuhusu uvaaji wa pete hususani ya ndoa au ya uchumba kwenye...
Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua.
Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao...
Habari zenu wana JF
Bila kuponda muda niende moja kwa moja kwenye mada husika
Hivi ni sawa kwa mtu awe mwanaume au mwanamke kukosa ujasiri wa kusimama na mpenzi wake mbele ya EX wake.
Jamani...
Habari ya asubuh wakulungwa? Natumai mnaendelea vema na ujenzi wa taifa...!!
Niende kwenye mada sasa, iko wazi kwamba neno mapenzi lina tafsiri ndefu sana viumbe wenzangu na haipingwi.
Sasa...
Wenyewe tumetulia tuli, na tumeridhika na hali zetu lakini wao/wanawake ndio wapo Mstari wa mbele kututafutia Tiba za kuponya tatizo hili.
Barabarani utawakuta wanauza vipande vya nazi, mihogo na...
Wakuu naombeni ushauri...
Hivi ikitokea kuna binti umempa ujauzito na maisha yako hayaeleweki nikiwa nina maana kimaisha bado haujasimama vizuri unawezaje kutatua Aina hii ya changamoto katika...
Habarini wakuu,
Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me).
Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo...
Mara nyingi huwa napiga mashati ya vitenge na chini namaliza kwa suruali la kitambaa. Matenge ya kijani na rangi ya njano nayakubali na chini suruali ya darka blue.
Sometimes nagonga kaunda suti...
Yea
Ace Hood
See mama, all I want you to do is hold it down for me
I want you to be my ride or die
While I go get this money, I promise I'm get us out the hood baby
Even though I'm in the streets...
Unapoanza safari ya mapenzi, shika muongozo huu na uuamini; Amini katika mapenzi siku zote. Siyo tu yenyewe kama maneno, bali mapenzi katika maana na mzani wake sahihi. Amini kuwa zipo nyakati...
Nilikutana na mama mmoja ana real estate, nyumba zake hazipungui 20. Nilikua na hamu ya kufahamu alianzaje. Aliniekeza kuwa alipata ajira yake ya kwanza akiwa na miaka 26. Kazi ilikua nzuri na...
Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa...
Praise The Lord!
It is tradition kila mwaka siku ya mwanamke duniani lazima nitoe my 2 cents humu Jf, and this year hatutovunja that tradition.
Kwanza natoa shout out kwa CRDB bank siku yaleo...
Habari wakuu,
Hapo awali kabla magojwa yanayosababishwa na ngono zembe kuwepo kwa wingi, kulikuwa na tabia hii hapa...
'Mwanaume anatongoza msichana na akikubaliwa, wanaanzisha mahusiano ambapo...
Za kazi wadau.
Maisha yanahitaji fedha sana kuyaendesha.Ila wasichana mmekua na tamaa na kuweka wazi shida zenu mapema zaidi.
Kamati kuu kama tulivyokubaliana, hakuna kuwaoa watu wa dizaini hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.