Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jamani nataka kuoa mwenzenu, Nia ya kuandika hapa si michango, mimi sina shida na kwetu hatuna shida, najua kauli hii itawaumiza sana baadhi ya watu, maana wanapenda kusikia kinyume chake ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Wakati nasoma Kibaha Boys Sec. School advance nilikutana na mdada mmoja akiwa anafanya kazi Tumbi Hospital, nikamwambia ninakupenda Sana akanambia Ww Ni Mwanafunzi utanipa Nini? Okey Nikamwambia...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Hello guys, Nlivokuwa shule ya msingi na sekondari i was obsessed likizo ifike ili nikaishi kwa ndugu kwa miezi kadhaa, ila nlivofika 18 yrs and above nkaanza kuona dunia halisi jinsi ilivyo, so...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Aisha alikuwa binti mzuri Wa uso na umbo ..Aisha alijulikana kwa ukarimu wake na upole.. Siku moja Aisha akiwa na wasichana wenzake walitekwa na kuozeshwa kwa wanaume kinguvu... Aisha aliishi...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kuna hawa wanasema, mtu atakupost mitandaoni ila moyoni mwake haupo. Kuna hawa wanasema, mtu akupost mitandaoni ili watu wajue unapendwa kwa sababu huko moyoni hamna anayekuonako[emoji23]
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wadau eeeh, Binafsi katika maisha yangu ya ujana huu sipendi kabisa demu anielewe alafau ifikie kipindi me ndo naseducewa yaan demu yeyote awe mzuri, wa kawaida au mbaya napenda me nimtongoze na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari ndugu, jamaa, na marafiki kama mada inavyojieleza hapo juu mimi naishi na mke wangu pamoja na watoto wawili wa dada zangu ambao wametangulia mbele za haki. Shida kubwa inayokuja ni huyu...
14 Reactions
70 Replies
6K Views
Wana harakati habarini wote. Jana kijua kilitoka kidogo ikabidi nitoke niote jua nje kidogo maana nilikuwa nimetulia house siku nzima sikwenda job. Sasa nikiwa nasukuma draft na jamaa wawili...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi malezi ya mtoto ni ya baba, mama na ndugu zake wakaribu tu? Maana nimeona wazazi wengi huwavimbia watoto wao wasiadhibiwe na watu wasio ndugu zao, lakini mtoto huyo huyo anapokuja kuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa. Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta...
2 Reactions
273 Replies
40K Views
Pamoja na kuishi kwangu kwa kungaunga (sina elimu kubwa) nilijinyima shilingi 25,000/= nikanunua simu kutoka kwa mchimbaji mdogo yenye uwezo wa kutumia Facebook. Nikaunganishwa na rafiki yangu...
19 Reactions
555 Replies
66K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza je umeshawahi kupitia wakati mgumu ktk mahusiano yako hadi ikafika hatua wee mwenyewe ikakubidi u salender mie upande wangu. Mimi niliwahi kuwa katika...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu wanajukwaa wasalaam, Msaada, kwa kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa ya kikristo bila kutumia gharama kidogo za harusi. Au afanyeje ili kuepukana na gharama za harusi, je...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Rejea hapo juu....naomba niende kwenye mada husika.. Nina mdogo wangu alimtambulisha binti nyumbani kwa wazazi wetu, wazazi wakambariki baada ya hapo binti aliendelea kuishi kwao Kwa bahati...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Basi bwana kwa vile nilikuwa na chat chat naye mtandaoni na kutumiana ma picha ya mahaba kwa muda mrefu basi nikaona itabidi nionane naye mtoto wa kishua, sikubali aiseee, toto rangi ya chungwa...
6 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha...
9 Reactions
112 Replies
10K Views
Habari zenu wandugu.. Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi. Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani Kuliko kuendelea kuficha simu yako wakati ukiwa na bae wako, kwanini usidate na huyo anaekufanya unaficha simu yako?
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom