Aisee kuna wadada warembo "pisi kali" ambao hawapendi kabisa hela, kontrare tu popyula bilifu. Mimi binafsi nimeshakutana na wadada kama watatu wanne hivi ambao pamoja na kuwa nao kwenye mahusiano...
Bill Gates And Melinda Gates Divorce: Reason Behind The High-Profile Split That Shook Everyone
Bill and Melinda Gates are the second ultra-rich couple to split up in the US.
By India.com Lifestyle...
Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa...
NI STORI NZURI YENYE FUNZO HASA WALE TUNAOCOMMENT KTK MITANDAO YA KIJAMII BILA BUSARA, HEKIMA WALA STAHA.
MY STORY: KATOTO KENYEWE KABAYA, NANI ATAKACHANGIA, ANGEKAACHA KAFE TU!
Tofauti na...
Alizaliwa miaka 8 baada yangu. Nikiwa mtoto wa 3 kuzaliwa kati ya watoto 5, huyu yeye ndie kitinda mimba cha Mama Fohadi na ndiye kaka wa mwisho wa familia. Japokuwa nina upendo wa dhati kwa ndugu...
Ghafla mpenzi wangu amenichukia na kunikasirikia kutokana kushidwa kumtimizia jambo lake alilokuwa akilitaka kutoka kwangu kushidwa kutimiza imefika hatua hatoi ushirikiano wowote wa kitu chochote...
Hakuna kitu kinachooumaa kama kuachana na mtu uliyempenda sana au mlipendana nae sana.
Hakuna kitu kinachoouma kumuona mtu uliyempenda sana akiondoka kwa furaha toka maishani mwako huku...
Habari za weend mabibi na mabwana! Hivi kuna wanaume wanaojiuza au kutoa huduma kama wanazotoa wanawake makahaba?? Yani nao wanajipanga kama kawa kuonesha ushindani wa viungo vyao ama inakuaje...
Ndugu zangu, kuna mambo flani huwa yananichanganya
Kuna mtu mmoja tunaishii naye nyumbani (mimi nakaa kwa baba mdogoo bado sjafanikiwa kujitegemea). Mtu huyu ana nafasi kubwa kwa baba yangu mdogo...
Habari yenu wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa. Ninampenda & analifahamu hilo. Ndo niliepanga...
Vijana wengi wakike na wakiume wanapotafuta mke/mume huandika kuwa wanamtaka mcha Mungu.
Hivi ni nani atakuambia kuwa mimi simchi Mungu? Kumcha Mungu (kumwogopa Mungu) ni jambo la ndani ya moyo...
Kuna harusi ya dada yake keshokutwa, sasa ameanza kunipanga muda mrefu kwelikweli kwamba niwepo. Sasa dah! Mimi kama baharia huwa nakwepa sana hizi public appearance maana mimi najulikana flani...
Let me tell you a story of how you will meet your Soulmate/ May be you have already met her/him.
1. You will meet him/her at the most inconvenient place and no one between you will even know that...
Habari wadau,
Kwa wale wanaume tulio katika ndoa ambazo si changa mtakubaliana nami kwamba wengi wetu tumekuwa tukikumbana na majibu maarufu kama "nimechoka","naumwa","we nawe unataka kila...
Mimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya.
Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu...
Nina rafiki alikuwa ananisimulia jinsi hali yake mahusiano yake anayopitia amepatwa na hofu muda wowote mpenzi wake atavunja mahusiano na hofu hiii inatokana dalili za mabadiliko ya tabia na...
Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick...
Mimi nimewahi kuwa mwalimu wa sekondari, shule ya mchanganyiko. Nina uhalisia fulani na mazingira ya shule za kutwa.
Kwa kipindi hiki ambacho elimu ya ngono inafundishwa kuanzia shule za msingi...
Ni jambo linalonitatiza aswaa wakuu, kwa kweli sasa nimepata ule Ubavu wangu niliokuwa nautafuta,kwenye hizo siku zangu zote za uchakataji. Nimepata binti mzuri, wife material mwanamke ambae ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.