Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Je inawezekana mwanamke wako akawa ameshakupiga chini muda mrefu lakini we unaona mko pamoja yaani kila ukimuangalia mwanamke wako usoni mnaongea vizuri, mnacheka vizuri na kusex pia mna sex...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Vijana tuachane na hii tabia mpya ya kwenda "zizini"(zizi la ngombe).Kuna jamaa alikua anasema anaenda sana "zizini" lakini asa hv ukimchek mdomo una mapele ya kutosha. N.B kwenda...
2 Reactions
111 Replies
16K Views
Habari ndugu zangu, Rafiki yangu kaja kuniomba ushauri ameenda kumtembelea mchumba wake jijini Dar es salaam . Jamaa angu kafika kaugua mafua makali akawa anamekea kitambaa chake cha mkononi...
10 Reactions
114 Replies
8K Views
Habarini wakuu Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli. Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei...
17 Reactions
173 Replies
17K Views
Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k...
14 Reactions
273 Replies
16K Views
Habari wana JF Nlikuwa napata bia zangu mbili tatu baada ya kuwahi kutoka kazini leo,sijui yale yalikuwa ni wazo ya bia au zilikua akili zangu timamu. Nmemkumbuka sana dem wangu wa darasa la...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za muda huu wadau, Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi. Tukajikuta katika...
33 Reactions
214 Replies
16K Views
Umofia kwenu!. Dunia inabadilika, zama pia zinabadilika. Hata miili pia inalazimishwa kubadilika. Sura za wanawake zinachakachuliwa sana. Mpaka kukosa uhalisia wenyewe. Yote haya ni kwa ajili...
4 Reactions
64 Replies
42K Views
Wakuu how do you deal with a situation like this. Kama kwenye familia yako, una mdogo wako wa damu kabisa ideology zake za maisha na zako hazipo sawa, na interest zenu ni tofauti and all that...
13 Reactions
239 Replies
15K Views
Fast foward....... Hii masaji ilikuwa mobile yaani alikuja room kunifanyia masaji. Alipofika akaanza na gia ya kuvaa kihasara-hara. Alikuja very decent akaomba aingie bafuni. Akaoga na kutoka na...
62 Reactions
168 Replies
24K Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 nilikuwa nimerudi kutoka nchi X nikafikia Dar es Salaam walipo ndugu na Jamaa kwa vile asimilia kubwa ya ndugu wengi wapo Dar es Salaam! Sema ukweli ilikuwa ni muda...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mfano nikikerwa suluhu yangu ni kujifungia ndani na kujumlisha changamoto na magumu yote niliyopitia katika maisha yangu niliee weee mpaka moyo usuzike baada ya hapo nitakavyoanza kucheka na...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume ...
22 Reactions
147 Replies
9K Views
Ni mwaka sasa umepita tangu niifute namba yako kwenye simu yangu Japo juzi juzi umenitafuta ila sio kupitia namba yangu kupitia kwa ndugu yangu habari nikazipata nikamwambia achana nae Kiukweli...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Sijui ni mimi tu pekee au kuna na wengine?, Naomba nipate Uzoefu wenu. Mimi huwa nikitoka kufanya mapenzi huwa nakula kama mchwa. Nakula mara mbili ya kile chakula nilichokuwa nakula kabla na njaa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama mnavyojua swala la mimba na binti kupata ujauzito akiwa nyumbani huwa kuna changamoto nyingi sana binti anaweza kupitia kutoka kwa wazazi wake na mwanaume anaweza akazipitia japo sio sana...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wa najamvi Kisa kina hanza hivi Kuna bi dsda mmoja nilimpenda akanisumbua Sana baadae akaregeza kamba weyewe akaniomba nimtumie nauli baada ya Mimi kuamishwa kikazi mikoani . Muamala wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Aisee wanajamvi nashindwa kuelewa kama ni upendo pekee au kuna kichochezi.. Huyu mwanamke Mama watoto wangu kila kitu anachotaka kutoka kwangu ninampatia kwa gharama yoyote ile. Akinikwaza...
5 Reactions
63 Replies
8K Views
Back
Top Bottom