Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuna wanawake wengi sana (Wa Imani ya Kikristo?) ambao ndoa na maisha yao yamevurugwa mno na manabii wa Uongo...siyo katika ndoa na mahusiano tu bali hata katika biashara, masomo na kazi zao...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka...
14 Reactions
111 Replies
11K Views
Usije ukakimbilia kumuacha mpenzi wako uliyedumu naye miaka kadhaa kwa kuamini eti utapata mwingine utakuwa umefeli sana, utakuja upate mwingine hata mwezi usiishe ukaona bora yule uliyemuacha...
32 Reactions
60 Replies
5K Views
From ma heart i can not protect u from cheating but its ma job remembering u,kuna vitu unafanya that affecting me 4 real,ww ni handsome and i know dat unakuwa approached Sana please usifanye vitu...
5 Reactions
89 Replies
8K Views
Kitendo cha kukumbatiana sio tu kinaleta upendo na kuileta jamii pamoja bali kina faida kubwa za kiafya na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa, watu hushauriwa kukumbatiana angalau mara 8...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
...
14 Reactions
90 Replies
8K Views
  • Closed
Mtie moyo mama mjamzito. Shika mkono wake, ongea naye taratibu, muonyeshe jinsi ya kupumua pumzi nzito zinazokwenda polepole. Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji, na hata kutoa sauti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa ajili ya kujifungua salama, andaa vifaa vifuatavyo: - Sabuni na maji kwa ajili ya kunawa mikono mara kwa mara, kumsafisha mama, na kusafisha vifaa tiba. Vilevile andaa beseni au bakuli kwa...
3 Reactions
0 Replies
7K Views
Guys, habari zenu, Mi sijui tuseme ni tatizo au ni nini, nikikutana na mwanamke kimapenzi, nikijaribu kuvaa condom, mashine haisimami kabisa ila nipige peku, nachochea haswa. Mnisaidie, kwani...
4 Reactions
45 Replies
10K Views
Nimekuwa mkazi wa kudumu katika hii dunia almost miaka thelathini, nina experience ya kutosha! Nimesoma Mbeya, nikaenda Iringa halafu nikamalizia dar, technically mimi ni mtoto wa mjini! Hiyo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa Poleni na majukumu na pilika pilika za wiki nzima Nina swala moja linalonisumbua sana kichwa kwa sasa, na nimekuja kwenu kuomba ushauri wa jambo hili. Mimi ni mwanaume...
18 Reactions
124 Replies
9K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari...
8 Reactions
82 Replies
8K Views
Bado sijutii uamuzi niliofanya, Hapo awali mtoto nilikuwa namlea kimayai huku nikijipa moyo sitaki apitie shida nilizopitia kumbe nilikuwa navuka mipaka kabisa ambayo haikuwa vema kwa mtoto...
45 Reactions
78 Replies
6K Views
Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu! Hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako...
12 Reactions
51 Replies
4K Views
Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa sana la ndoa sogea tuishi hali iliopelekea kupoteza na kuondoa heshima na ladha ya ndoa kwa ujumla. Unakuta binti jioni yupo kwao asubuhi mnaamka mnamwona kwa...
7 Reactions
46 Replies
8K Views
Waungwana hasa wazee wenzangu nipo kwenye taharuki kubwa hapa. Nilikuwa na mtalaka wangu mmoja juzi kati alikuja kunitembelea kama kawaida tukawa katika majonzi ya kuvunjika kwa pambano la watani...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Mniruhusu nicheke kwanza....Girls, you wanna know? Sababu chache kwanini Wanaume ni waongo hizi hapa: 1. WANAJUA Uongo wa Mwanaume ni kama muvi. Kabla hajadanganya anapanga angle zote na majibu...
1 Reactions
6 Replies
835 Views
Wataalam mnaelewa maana ya hii kitu? Mke kuhakikisha anatumia maji yaliyotumika kufulia kudeki uvunguni kila mara. Na usiku mke kuweka sufuria uvunguni likiwa na tango, mkaa na chumvi inamaana gani?
11 Reactions
49 Replies
6K Views
Leo naja na huu uzi kwa gender zote but especialy wadada Kuna watu wanatunza meseji nyie,balaa..Hata Makumbusho ya taifa pale Posta haiko deep kama wao.....Anatunza meseji za tangu unamtongoza...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom