Habri zenu wadau
Mimi nimekuja hapa kutokana na hii tabia ambayo nimekuwa nayo miaka ya karibuni na naona inazidi kukita mizizi.
Kifupi ni kwamba siwezi kabisa kubembeleza mwanamke, yaan akisema...
Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na mimi; mwenye mapenzi ya kweli na...
Habari za jioni jf, napenda kutanguliza shukrani zangu. haya moja kwa moja nijikite kwenye mada, ni kama wiki mbili zimepita, toka msichana wa jilani atoroke kwao. wazazi wake...
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaani nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni:-
1.Ni wa mooooto
2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.Hachakai haraka
4.Halafu...
Kwenu wanaume, najua kuna wakati huwa mnatawaliwa na hasira lakini kabla ya kumtusi au kumkashifu mwanamke rudi nyuma mtazame mama yako, dada zako au hata mabinti zako kama upo mbali nao tazama...
Hivi wakuu nanyie mnaona kama mimi au?
Mbona kama ile Tamaduni yetu ya kutembeleana haipo tena.
Unajua ile tunakua, ilikua unasikia..Likizo hii tunaenda kwa Shangazi..kwa Baba mdogo. Kwa...
Hello Jamiiforum, moja kwa moja kwenye mada.
Neno ndoa linachukuliwa kirahisi sana kwa sasa, na hii inachangiwa sana na Mambo yafuatayo. Mwanamme kuishi na mwanamke pasipo kuoana, almaarufu Kama...
Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU.
Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha...
Hapo mwanzo nilikuaaga muumini wandoaa,maarufu kama sogea tukae,kipind hicho nasoma chuo kimoja maarufu nchini Tanzania. nikiwa na geto langu moja kali ukutani Tv yangu ich 43 ikisindikizwa na...
Mnamo mida ya jioni( saa kumi hivi), ikiwa ni majira ya spring katika mji wa Houghton (Michigan) nilikuwa nimetoka kufaidisha kinywa katika mghahawa wa Rodeo Mexican Kitchen, nilipokea simu ya...
Habari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach...
Nimejikuta naandika hapa kwa namna nilivyojionea mwenyewe kwenye mahusiano. Unakuta uko kwenye mahusiano na mtu...unamsaidia mambo hata kama si kuyamaliza ila yale ya dharura unayapa kipaumbele...
Limbwata ni dawa ya kumpumbaza mwanamke au mwanaume.
Hufanywa na mwanamke kwenda kwa mwanaume au mwanaume kwenda kwa mwanamke.
Wazigua wanayo dawa ya limbwata ambayo ni mzizi mdogo sana...
KUACHWA NA MTU ULIYEMPENDA ZAIDI SIO MCHEZO ZIFUATAZO NI DALILI ZA MTU ALIYEACHWA
~ Muhanga wa tatizo hili hukosa utulivu wa akili katika kufanya na kukumbuka mambo yake binafsi na hata ya...
1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena.
2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili...
Unavyodhani ndivyo, sivyo na huenda ukashangaa sana nikikuambia huu ukweli kuhusu wanawake. Huenda ukafikiria wanawake wengi hupenda wanaume wenye pesa na magari lakini sivyo hata kidogo. Kuna...
Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF
Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF!
Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia...
Mahusiano ni kama sanaa kuna wakati mahusiano yanaweza kukupa stress na msongo wa mawazo kiasi kwamba ukajutia kwanini umeingia katika mahusiano huyo mwanamke au mwanaume maana kuna time unaona...
Salaamuni wakuu.
Mahusiano yanapo vunjika either ya mke na mume au wapenzi tu wa kawaida walioshibana ikatokea sintofahamu baina yao hadi kupelekea kuachana je kati ya Me au Ke....
1: Nani huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.