Kuna mzee alikua na maisha ya kawaida, mke na watoto. Akiwa na miaka 40+ alishajenga nyumba, watoto wanasoma na miradi yake inayoingiza mkate kila siku inaendelea. Kama binadamu kuna siku...
Nawasalimu katika jina la aliye juu wapendwa! As the topic is concerned, how do you handle changamoto za housemaid mwenye mtoto nawe una watoto?
Ni wiki mbili sasa niko na dada wa kazi mwenye...
Wakuu,
Asalaam aleykum, Tumsifu YESU kristo. Nimekumbuka visa vilivyopita mingi Sana enz za ujana, kipind icho sijaoa bado.
Enzi hizo Wanasemaga UJANA MAJI YA MOTO na Nlkua wa moto kwelikweli...
Habari za muda huu,
Wapendwa nina mchumba wangu tumeanza mahusiano tangu mwaka 2014, yeye akiwa darasa la saba mimi nikiwa form one mpaka leo hii yeye yupo chuo na mimi nipo chuo kikuu bado tuna...
Je wajua kuwa wanawake tajiri zaidi duniani watano (5) ni wale waliotarakiwa?
Hebu fikiria wewe ndio mmoja wapo wa hao wana hapa chini, alafu ndio umeoa na kutarakiana zaidi ya mara 3. Utabakiwa...
Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!, Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever.
Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa...
Hapo ndio siri ilipo ndugu zangu yaani ukitaka mapenzi yale yenyewe yaani mtoto wa kike anachanganyikiwa. Hakikisha uko 30s, vihela vidogo vidogo si shida halafu date hivyo vitoto yaani 20-23...
Wahenga walitambua ugumu wa familia kukosa mzazi mmoja. Ukifiwa na mke unatafutiwa mke wa kuoa ma ukifiwa na mume unatafutiwa ndugu wa mume akiongea. Sababu kubwa ilikua watoto wa marehemu...
wanaume wa aina hii wapo wengi
Sasa ukikutana na mwanaume wa aina hii ujue kuna kitu
labda anataka muachane au ana mchepuko ama ni hulka yake tu kuwa mkorofi.
Visa huwa haviishi sasa unatakiwa...
Mwili wa mwanaume una misuli mingi kupita wa mwanaume. Misuli hii inampa nguvu za ziada katika kuilinda familia. Mkiona nyoka ndani ya nyumba hutashangaa kusikia muiteni baba, ni mara chache...
Kuna jambo Africa hua tunazingua kbsaa. Africa tunapenda kuonewa huruma kulalamika sana na ku pretend kua sisi ni wema kuliko mataifa mengine
Siku hizi kuna wimbo wa ukoloni pamoja na mabeberu...
Narudia tena kwa msisitizo kuwa sitasahau siku nilipoona "Mwanaume"akilia kwa sababu ya Mapenzi.Sikuwahi kufikiria kama kitu kama hiki kinaweza kutokea.
Kijana mmoja biashara yake ilikuwa ya...
Hivi ushajiuliza ni kwanini watoto wa kike waliolelewa katika familia zenye upendo sana hasa wa baba na mama wanakuja kuwa na upendo wa dhati sana kwa wapenzi hata waume wao tofauti na watoto...
Leo kuna rafiki angu nilimsikia akiongea kwenye simu na mtu flani ana mpango wa kumfanyia mchumba alienae madawa ili amuoe, lakini sio ili tu kuna rafiki angu flani nae aliachwa alikuwa na maumivu...
Kama ilivyokawaida yangu wikiend nikiwa bored ilikuwa ni kawaida kabisa kucheki boda boda au uber afu na drop maeneo ya Bata Batani Ilikuwa the same case kuna demu flani nilikuwa namsuburi...
Mfano Mwanamke - alikuwa Malaya ....kachakazwa sana ...yaani watu wameosha sana kwake. Sasa inatokea unakuja kuwa naye labda siku ulikuwa na njaa ukala ukakuta naye amekuganda mwishoni anasema...
Miaka 8 mtoto anaanza kujitambua kama amependeza. Hapa ukimvalisha maroronya mnakwenda kwenye party anaweza kugoma kwenda. Hapa mzazi kuwa makini kuhakikisha mtoto ni msafi hii inamjengea...
Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee.
Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani .
Nimepanga na...
Neno uvumilivu lisitumike vibaya kiasi cha kuharibu mfumo wako wa maisha.. Kuna mengine hayavumiliki zaidi ya mara moja.. Kuna tabia zenye kuumiza na kukera unapo vumilia unafuga ubovu.
Ukiona...
Daa huyu demu kazidi vizinga na hii Week ya Christmas sijui itakuaje, mtu yupo kanisani, kabana nywele vizuri kabisa amependeza, kumwambia tu aje home akitoka kanisan anataka hela ya saloon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.