Mambo vp jamiiforums.
Je, shemeji yako wa kiume anaweza kuwa swahiba?
Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi...
Sijui nini tatizo, nikishiba tu chakula vizuri shibe yote inaenda kwenye mnara unasoma 5G kuanzia saa mbili usiku hadi nitapolala usingizi kidogo afadhali.
Papuchi napiga mara 4 kwa wiki lakini...
Tofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi...
Msemo wa age is just a number ndiyo habari ya mjini. Babu wa miaka 70 anafunga ndoa na binti wa miaka 25. Au bibi wa 55 anaolewa na kijana wa 35. Mwanamama mtunzi wa vitabu aitwae Jacque...
Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au...
Mimi binafsi sijawahi kufurahia sherehe yeyote inayohusiana na mchakato mzima wa ndoa, iwe send off, ndoa yenyewe, hata reception, yan naona ni kupotezeana muda tu, mfano vile vikao sijui hata...
With Secret Thirteen
Hakuna mtu anayependa kunywa kinywaji ambacho kishafunguliwa mwingine akanywa kisha akakugaia. Hakuna ambaye anapenda kula pipi ambayo ishafunguliwa ikaliwa ikabakizwa...
1. ANAKWEPA MAZUNGUMZO YA NDOA
Haonyeshi Kufurahi Unapoanzisha Mazungumzo Kuhusu Suala La Kufunga Ndoa Na Wala Hapendi Kuzungumzia Hilo. Wakati Mwingine Hata Kukutambulisha Kwa Ndugu Zake Au...
Wakuu,
Katika majukumu muhimu ya wanandoa ni kutimiziana haja za maumbile na kihisia. Kuna wakati hutokea mmoja wapo hajisikii kufanya chochote ili kumtimizia mweza wake! Na hii huleta ugomvi na...
Leo nimeshangaa sana baada ya kupitia report na data za DHS 2015/16. Yaani vijijini mabinti wanaongoza kwa kuanza kufanya mapenzi wakiwa watoto chini ya miaka 10, ni tofauti na mjini tunapodhani...
Mimi ni mzoefu katika mahusiano kwa muda wa zaidi ya miaka 10 Sasa. Nimepitia different tastes, lakini nisemee makundi mawili la wanawake wembamba na wale wenye maumbo mwana.
Nilichogundua kwa...
Jamaa yangu wa kazini leo kaja home kunichukua twende meneo ya uswahilini anakoishi. Anaishi Kijitonyama. Ni maeneo yenye msongamano sana kwa kweli sijui tu why serikali isingebomoa...
Wanajamvi wiki kadhaa zilizopita niliwaelezea mazingira magumu nilioyapata baada ya mzazi mwenzangu kupata mwenza nakuniwekea vizingiti vya mawasiliano akitaka niwasiliane na yeye(mume) kwa ishu...
Bill gates alikuwa anampenda mwanamke ambayo hakuweza kumuoa ila Melinda alimruhusu Bill gates, kuwa na huyu mwanamke every weekend mambo ya camila na Diana .Jina lake Ann Winblad
Habari za wakati huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji...
Habari zenu jamani JF,
Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau?
Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani...
Huyu mwanamke namkubali sana, huwa ana tabia ya kunipigia simu asubuhi lakin leo nimempigia amepokea hajaongea then akazima simu.
Sasa nafikiria atakuwa amelala na mwanaume mwingine wakuu...
Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother!
Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na...
Salaamuni,
Eti wadada hivi kuna kauwezekano nyie mkachepuka and still mkamaintain ule upendo wenu kwenye mahusiano yenu? maana to be honest kuna mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano for almost...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.