Siongezi neno wala kupunguza!
Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana! Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni Yale mmoja lazima amsikilize mwingine! Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL...
Kudumu kwenye mahusiano ni jambo la heri, ingawa sometimes watu inawabidi kuachana na wapenzi wao iwe kwa sababu moja au nyingine.
So kwa wale ambao waliodumu au walishawai kuwa kwenye mahusiano...
My True story.
Kisa hiki kinaanzia miaka kadhaa nyuma wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho kimasomo katika shule moja ya sekondari nchini.
Nilikuwa nafanya juhudi kubwa sana katika masomo...
Wangu.alikua anacheza mziki kitandani,
Mungu amjalie huko alipoolewa.
Huyu.mwanamke sijawahi. kumsahau hata baada ya kuoa na yeye kuolewa.[emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji851]...
Tulikuwa tupo mahali tunapiga one two. Npo na rafiki yangu, mzee wake na wazee wengine watatu. Baba yake rafiki yangu (mzee) anapesa pesa pesa. Story nyingi tulipiga ila kuna jambo lilinishangaza...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia...
Jana ilikuwa ni siku ya wanawake duniani.
Nafikiri tumeona mengi sana pia mnakaribishwa kuandika mliyo yashuhudia hiko kwenu.
Upande wangu nilichoshuhudia na kunishangaza,, post nyingi...
Nilikua napitia report ya afya nimesikitika kuona 34% ya vifo nchini hutokana magonjwa yasiyoambukiza na ugonjwa wa moyo ukiongoza. Magonjwa mengine sukari na cancer ambayo tunayaona yanavyozidi...
Wanaume wa humu jueni hili kuwa wanawake wahumu sio single bali kuna kipindi mtu anafunguka kuongeza mtu tofauti na yule aliyenaye ila sio hana .
Nyie mna dhani huyu mtu nisingle.
Mfano hai ni...
Huu ni mchepuko wangu ambao nishapiga mara nyingi tu tena show zote za maana:
Hivi majuzi tukiwa katika story za kawaida, kanambia kuwa “siku tutakayokutana tena Kitandani nitakuwa mwalimu wako...
Kuwa na vibinti ni shida sana vinakuwa haviko interested na sex ila vinataka chips mayai, out, mdudu, kuvaa vizuri, na misaada mengine ila mwamba ukitaka kunyoosha goti hawataki, mimi huwa mapema...
Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye...
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada.
Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda...
Habari za majukumu ndugu zangu,
Leo nimekuja hapa kwenu kwaajiri ya kuweza kupata ujuzi [structure]na mwenendo mzima wa harusi sana sana ikiwa ni kwenye ku set budget ya harusi kwa kadri ya wa...
Hello Jf.
Kuna kautafiti kangu kasiko rasmi nimekuwa nakafanya kisirisiri,nimegundua kwamba wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa,utakuta anajipiga picha kwa kutumia...
Wakuu mimi nina rafiki yangu tulikuaga mabest sana advance lakini tulivyorudi mtaani kila mtu na mishe zake hakuna anayemtafuta mwenzake imetokea tupo nae chuo kimoja sema kozi tofauti ila ukaribu...
Habari wana MMU,
Nataka kusema na wanaume, mtu ukimuomba namba ya simu akikukatalia elewa tu kuwa umekosa jamani sio unalazimisha utadhani unamdai mtu khaa.
Namba umekosa unaanza kumfata mtu...
Nakumbuka mwaka jana katikati nilipata kufahamiana na single mother mmoja toka kwenye mtandao maarufu wa kijamii.
Mwanzoni sikujua kama ni single mother mpaka tulivyoanza kuzoeana ndipo alinambia...
Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea!
Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na...
Naomba mnisaidie ndugu zangu,ni wiki ya tatu sasa toka nifanyiwe kitendo hiki na mjomba wangu ambaye ninaishi nae.
Mke wa mjomba na watoto walisafiri kwenda likizo kijini nikabaki mimi na mjomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.