Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Majuzi mdogo wangu alinitembelea nyumbani baada ya stori za hapa na pale akanieleza sababu ya kunitembelea.Akanieleza kuhusu matatizo yanayomsibu katika mahusiano yake,maelezo yake yako hivi...
2 Reactions
76 Replies
5K Views
Mzazi akikupa hadithi za ujana wao mwambie sawa nimekuelewa,, ila usinifundishe namna ya kuishi na Mzazi mwenzio. Kuna wazazi hata kama alimfumaga baba na mchepuko siku ukipata kazi itakuwa...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
hasa wa kitanzania kuwa mwepesi katika kukata kiuno akiwa anacheza mziki au ngoma au kudatika na mlio fulani lakini binti au mwanamke huyo huyo ukiwa nae kitandani katika suala zima la kufanya...
1 Reactions
44 Replies
16K Views
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa kuwa na baridi kiasi kipindi hiki ambapo pia nipo likizo, najikuta muda mwingi nikiwa chumbani, tena kitandani na wife tukishiriki tendo takatifu la ndoa...
18 Reactions
126 Replies
17K Views
Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa. Nami ninamthamini...
3 Reactions
84 Replies
7K Views
Wasalamu wanaJF.. Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii. Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza...
17 Reactions
415 Replies
42K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nakusihi wewe kijana ambae bado hujaoa, kamwe usioe wala hata kupata wazo la kumuoa mwanamke anae au aliewahi kuishi sijui alipanga akaishi mwenyewe. No...
67 Reactions
389 Replies
34K Views
Mambo vipi. Jamani leo nimekuja na shida moja nimekua Sina kabisa hamu ya tendo la ndoa nashindwa kuelewa shida ni nini? Lakini kinachotokea ni kwamba nasimamisha mnara Kama kawa lakini Raha...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kuna ujinga mmoja ambao wadada wanafanya, narudia ujinga ambao mnafanya. Umekutana na mwanaume, ni Malaya, yaani wakati unakutana naye hata kabla ya kumkubali ulishajua kuwa ana wanawake zaidi ya...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimekua nikitafakari sana, visa na migogoro ya wanandoa na mahusiano ya kawaida , ni matokeo ya utandawazi , asilimia kubwa ya wanawake wanataka kushindana na wanaume, Kiasili mwanamke aliumbwa...
28 Reactions
89 Replies
9K Views
Habarini wana jamvi. .. Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha...
26 Reactions
78 Replies
11K Views
Wana JF, Kwanza kabisa niseme ukweli mimi nina miaka 31, katika umri wangu niliwahi kulala na wanawake wawili tu, mmoja wapo ni mke wangu niliyemuoa sasa. Nikiwa kidato cha kwanza wazazi wangu...
13 Reactions
102 Replies
37K Views
Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute. Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Uki date na vi slay queen [emoji73] akili zao zote wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii! Mama ya kijinga jinga ya kupostiana ndio changamoto kubwa sana aisee! Nilikuwa na tabia ya kupost ili aone...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wanandoa na wanauchumba. Hivi unajua kuwa mwenzi wako anapoamua kujenga nyumba au kufanya jambo la kimaendeleo bila wewe kujua hapo anajiandaa kuishi bila wewe? Hii dunia ina mambo sana...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
Wandugu Hili janga ni kubwa sana kwangu, nimekuwa na kawaida ya kununua mahitaji yote ya nyumbani kama baba na kiongozi wa familia kuna kipindi kulitokea mtafaruku kisa kikiwa shemeji zangu...
9 Reactions
233 Replies
22K Views
wadau, habari zenu, Dada zangu mnao uza papuchi, hivi mmekataa kabisa kufikilia aina nyingine ya biashara, mkachagua kujiuza? Siku zote yule muuzaji ndio mbaya sana, wateja watajuaje aina ya...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nimemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa...
16 Reactions
244 Replies
25K Views
Nimetafakari Sana Mahusiano ya watu tajwa hapo juu, Yan kabla ya kijana kuoa na baada ya kijana kuoa. Katika uchunguzi wangu mdogo familia nyingi kabla ya kijana kuoa zinakuwaga na utulivu amani...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari zenu wadau: let me go straight to the point,,, kumekuwa na malalamiko kuhusiana na nguvu za kiume, bahati mbaya watu hawaelewi tatizo hili linasababishwa na nini, kiukweli tatizo linaweza...
6 Reactions
52 Replies
16K Views
Back
Top Bottom