Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa.
Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na
1. wanawake wengi kukata tamaa...
Wakuu kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna watu unakutana nao ambao kwao hamu yao ya kufanya mapenzi imepita kiasi, yanii wao kila muda wanataka.
Hebu fungukeni visa mlivyokutana navyo na kama...
Kuna mdada nimekutana naye wiki hii anafanana sana na Mama yangu pia na mdogo wangu wa kike. Vijana mbalimbali wahuni wanamtongoza ( ofcourse wanataka wamchezee), nimejikuta roho yangu inauma...
Hi guys,
Naomba kufahamishwa usahihi wa hii nadharia ya kila mnayependana kwa dhati ni lazima muonane ina ukweli kiasi gani?
Maana ukizungumzia tu upendo wa dhati halafu hayo mazungumzo...
Habarini wana jamvi.natumai mu wazima kabisa.
Siku za nyuma kidogo nilileta Uzi humu kuhusu kutoelewa ujauzito alioupata mpenzi wangu .Na hii ni kutokubaliana na maelezo yake ambayo yanakinzana...
Hello Guys
Leo ningependa tushee visa, hisia, vituko n.k
Ilikuwaje kwa mara yako ya kwanza kupata utamu/kuingiliana na mwanamke/ku do /kula tunda /kuonja papuchi?
Mie nakumbuka ilinichukua...
Ndugu zanguni habari zenu, nimekuja kwa ushauri wenu pamoja nakuweza kupanua mawozo yangu nakupunguza stress za kifamilia.
Mimi nina mke na tumejaliwa watoto wawili (2) wakike na wakiume, Mwaka...
Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi.
Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka...
Habar wadau jf..
Binafsi napenda kutoa haka ka kisa cha kupigwa kelubu(kibao)na mwenza wako a km ni wife or girlfriend ..ilikuwaje,kwa sabab gan na baada ya kupigwa ulifanyaje/ulimfanyaje km ni...
Habari wana MMU.
Bila shaka sitakuwa nje ya content ya jukwaa nikisema mahusiano yangu na baba mzazi wangu wakati niko teen's ages yalinifanya niishi kwa wasiwasi sana nikijuwa nanyimwa haki na...
Salaam,
Ukiwa mwanaume mwenye lengo la kuanzisha familia na mwanamke uliemchagua, kisha ukajua shemeji yako mtarajiwa wa kike na mamamkwe wanafanya hila ili ukishampata mwanawao wakuteke uwe...
Habari wana JamiiForums,
Imezoeleka kwa watu wengi na katika jamii nyingi watoto wa kike yaani dada zetu na mama zetu ndio wenye hulka ya kusuka. Lakini siku hizi wanaume wengi wameiga mitindo ya...
Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako...
Kama kuna mwanaume ambaye mmekutana online na anaweza kuchat nawe mpaka saa nane usiku basi jua kua huyo mwanaume si wako, anaweza kuwa mume wa mtu au ana mpenzi wake ambaye anampenda na wewe ni...
Mwaka 2018 nlienda kumsalimia dogo wangu wa kiume shuleni kwao boarding. Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili. Tulipiga story sanaa na kuzunguka mazingira ya shule, akanitambulisha kwa marafiki...
Hii nimeikuta kwenye mahojiano sehemu kwenye blog moja, mdada mmoja mrembo tu umri 32yrs yeye anadai hataki mtoto kwa vyovyote vile.
Kaenda mbali sana hadi kuwa na watoto sio garantii ya wao...
PDA Is Off-Limits
Although the couples in the royal family might love each other dearly, they are not supposed to show public displays of affection. Marrying a prince might seem like an actual...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.