Kwenye mapenzi kuna mambo mengi kuna watu walishawahi kupenda na hadi wakafikia hatua ya kuwapa password za mitandao ya kijamii wapenzi wao na wengine walienda mbali zaidi na kuwakabidhi wapenzi...
Mara nyingi huwa tunasikia raha ya mapenzi inawafanya watu wanachizi na kufanya mambo ambayo watu wengine wanabaki wakishangaa. Mara huyu kahonga gari, mara huyu haelewani na familia kisa...
Habari.
Kwa wale mliokimbia Civics, blended family ni aina ya familia ambapo mwanaume ambaye ana watoto wake aliopata na mwanamke mwingine anaingia katika ndoa na mwanamke ambaye na yeye anakuja...
Habari wapendwa,
Ilikuwa mida ya jioni narudi zangu nyumbani kutoka mihangaikoni, Ile sasa ndiyo tumefika Makumbusho, nikawa nataka kushuka ili nipande daladala nyingine inayoelekea huko duniani...
Kiasili, kati ya mwanamke na mwanaume mmoja wapo akipenda na kuamua kumpata yule alie mpenda, kwa mwanamke ni rahis sana kumpata mwanaume alie mpenda.
Kwahiyo tukiwa ndani ya mahusiano, mwanaume...
Ninamajuto mengi sana nilio yajutia baada ya kufanya kutokana na kuoelekwa na hisia za mwili kuliko kifikiria.
1st Niliwahi kumpenda mdada flani hivi vibaya sana nilikuwa namuonga sanaaa kwa...
Mahusiano yeyote yanapoanzishwa lengo kuu huwa ni kuishi pamoja hapo badae kama mke na mume mkiwa katika ndoa.
Sasa kama mnavyojua maisha ya siku hizi katika mahusiano huwa yana changamoto nyingi...
Wakuu ndani ya mjengo nawasalimu.
Niwasilishe kwa ukumbusho kidogo hususani kwa wale tayari walioko kwenye Ndoa. Mkeo au mmeo uliyenae mpaka Sasa ulimpata katika mazingara yapi? Jamii yetu ya...
Siongezi neno wala kupunguza.
Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana. Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni yale mmoja lazima amsikilize mwingine.
Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and...
Habari wakuu soma Kwa makini kisha unisaidie mawazo
Mimi ni kijana wa miaka 25 ni HIV+ ninamalizia elimu yangu chuo fulani kikubwa hapa nchini
Nimekua na mahusiano na mdada mmoja ambae amemaliza...
Dear opinion makers,
I want to bring this to your attention for a thoughtful discussion.
Mwanahamisi (Mishy Singano) has outspoken a very controversial statement which cannot just be left...
HII VITA hutokea pale umeenda guest na mchepuko alafu unamkuta mkeo nae yupo na mchepuko!! mnaamua kugawana majukumu! we unapambana na mwizi wako.. mkeo nae anapambana na mwizi wake USIOMBE MPIGWE...
Wakuu kwema?
Mke wangu nampenda sana lakini ananikera sana kitu kimoja, kuvaa nguo zangu mimi napenda sana kuvaa T shirts sasa kila mara huyu shemeji yenu nakuta kavaa t.shirts zangu.
Nilihisi...
Jamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke.
Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza.
Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani...
Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo.
Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na...
Bwana eeee nipo na mwanamke wa Tanga hapa,mwanamke ananipikia,ananiogesha,ananitawaza nikienda chooni,ananifulia mpaka boxer,mwanamke ananitiii na kuniheshimu sijawahi ona, mwanamke anajishushaaa...
Yaan
Heb ngoja kwanza.
Niseme kwamba mimi bado nakula ujana.. sina hata mtoto wa kusingiziwa.. natarajia nifanye maamuzi ya kuwa na mtoto kuanzia mwakani labda...
Haijalishi wa kiume au wa...
Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza.
Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi?
pia soma:
Kwanini mke wako akikuta...
Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!!
Na asilimia...
Habari Wana JF.
Leo kidogo ningependa kupata ufahamu na kutoa utata juu ya neno NGUVU ZA KIUME. Mara nyingi nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali, media na jamii kwa ujumla juu ya nguvu za kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.