Ndoa-bila-subra-imani-na-mahaba, huezi ishi kwa ndoa
1. Kama huna subra kwa ndoa yako basi huezi kuishi kwa ndoa na amani ndoa yajengwa na subra kusubiriyana kila moja wenu amsubiriee mwenzake...
Hakika liko kusudi la Mungu katika mapenzi! Upendo ni tunda tam sana linalotafutwa na yule muovu!
Naomba kwa Uzi huu tuambizane Yale mazuri yaliyomo kwenye ndoa!
Ili wale tunao ogopa kuingia...
Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ .
1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake
2.ushawahi kupata nafasi ya...
Habari za Asunuhi wanajukwaa,,
Natamani kushare nanyi kisa cha kweli huenda tukajifunza mengi kutokana na kisa hiki. Kisa hiki ni story ya kweli inayomhusu my beloved Cousin na kijana moja kutoka...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...... Kazi iendelee.
Leo nahitaji ku-share matukio mhimu katika maisha yangu hasa yaliyo tokea tarehe 26/4 (April26) kwa vipindi...
Habar ndugu za nguni naombeni ushauri, nipo na single mother kwenye mahusiano Mwaka mmoja, nashangaa ghafla nimeanza kumpenda Sana na siwez kuacha kumpigia sim na kutumia sms, kipindi cha nyuma...
Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa...
SEHEMU YA KWANZA
Declaration of Interest Andiko hili lina msingi wa kiimani (Ukristo) lakini pia lugha zilizotumika ni kiingereza na kiswahili ili kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa.
Binadamu...
Tokea nilkiwa Shuleni Boarding nilikuwa na wapenzi kadhaa, mara nyingi tulikuwa tunajipanga na kuingia kijijini,pale kijijini kulikuwa na getto la washkaji basi tunaingia tunapiga gemu hadi...
Unatongozwa unakubali unatoa ahadi vizuri, siku ya kwenda kutoa mzigo ndio unaanza kupiga mizinga, hii ni tabia gani?
Kwa nini usiseme mapema kama unauza papuchi mtu akakukatia chako alafu...
Mwanzo niliamua kisa hiki kibakie kuwa siri maishani wangu, lakini kwa sababu jamaa amegoma kunisamehe hadi leo, ngoja tu niwashirikishe.
Jumatatu ya Juni 22,2015.
Niliamka sijisii poa, nikaamua...
Wakuu amani iwe kwenu!
Kama kila wakati tutajiweka busy na issues za corona na siasa hizi zisizo na maarifa basi tunaweza kujikuta tunajipunguzia siku za kuishi kutokana na sonona. Hivyo basi...
Wakuu! Nilichokigundua na kisichojulikana sana ni uzuri wa hawa warembo wakiyahudi aisee, sio maarufu sana lakini inawezekana kundi hili likawa katika nafasi ya juu sana duniani kwa mvuto.
Na...
Ukiona picha yake unaweza ukasonya kwa kusema mbona ni mwanamke wa kawaida tu? Yes ni kweli sameera ( Samira) alikuwa Dada wa kawaida tu kimuonekano...But honestly she was a very very nice...
Habari wana Jf naimani mko powa .
Haya mambo hayajawahi nitokea ila huwa nayaona sana yanatokea katika maisha ya kila siku hasa kwa upande wa wanawake.
Leo nilikuwa nimekaa mahali ghafla akapita...
Mwaveja sana! Asee mimi nilikuwa sijapata fika Kigoma maisha yangu nimedate watanga wengi tuu ila hawa balaa, kimaisha ujiji pamefanana na Bagamoyo wanaume ni wavivu hucheza bao na kahawa muda...
Kwa wale waliooa na hata wanaofanya mazoezi ya ndoa kumekuwa na malalamiko ya wanawake kadhaa ambao nmeweza kuongea nao kuhusiana na suala la matumizi ya mate.
Kwa namna ambavyo nlisoma katika...
Raha sna sijui hta nianzie wapi kuelezea. Kla kitu tunachokifanya nakiona km kipya km tuko peponi. Mapenzi ni ktu kizuri sna halafu ukimpata yule mnapendana ndo inakuwa raha zaidi hii dunia...
Nina mpenzi wangu tunaenda vzr kabisa lakini shida ni kwamba simu yake nikimpigia jioni na usiku naambiwa ni hakikishe namba ya mteja ninayopiga hii inatokana na network au ameniblock.
Wenye...
If you having hard time in your relationship and you think it’s not going to be fruitful, then quit! Relationship should be fun, romantic and supportive but when it’s becoming outrageous, the best...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.