Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka? Wadau hebu tujadili hapo tuone...
3 Reactions
94 Replies
9K Views
Wana great thinkers Kuna ushauri tafadhali unahitajika. Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nakumbuka nilikuwa sina sana iyo tabia kiivo na ilipelekea kila mmoja wetu kutokuwa na password katika Simu. Iyo siku shetani alipitia na ndio uhusiano wangu ulivunjika ambao nliuamini ntazeeka...
26 Reactions
73 Replies
7K Views
Nimefanikiwa kutengeneza urafiki na mama muuza genge hadi katokea kunipenda na kuniamini sana. Alipenda kujua maisha yangu ya kiroho na maisha ya kawaida na kuridhika nayo. Baada ya kumaliza chuo...
34 Reactions
118 Replies
8K Views
Je, kuchunguza simu ya mpenzi wako inasaidia kulilinda penzi lenu?
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Kila mwanamke ashawahi kua mchepuko/mchepukwa kwenye mahusiano katika hatua fulani, kuna baadhi wabishi watakataa hili. Kua mchepuko muda mwingine hujihisi mpweke, ila una faida zake, kama vile...
6 Reactions
77 Replies
14K Views
Ee bhana hii issue mmoja yupo DSM mwingine yupo Dom imeleta migogoro sana kwenye ndoa. Juzi msela kakutwa na demu baada ya mke kusafiri usiku kuja Dodoma alifika saa nane usiku na kumkuta mshkaji...
12 Reactions
107 Replies
9K Views
Sijui niseme maisha ni magumu sana au sijui niseme utandawazi!!! Kwanini mabinti wa vyuo wanakuwa warahisi sana kutongozeka! Yan ukigusa imooooo tena ukiwa mwepesi kama lionel messi aloooooo...
12 Reactions
54 Replies
3K Views
Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa na mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa...
6 Reactions
122 Replies
12K Views
Jambo ndugu zangu, Nahitaji msaada wenu. Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga...
6 Reactions
92 Replies
9K Views
Niende kwenye mada, sita elezea mada hii nikihusisha na story yangu binafsi ila nitaweka story ya Bondia Hassan Mwakinyo. Kiukweli ni ngumu sana kumjua mwanaume mwenye nia njema kwa mpenzi wake...
16 Reactions
43 Replies
6K Views
Wakuu nauliza kwa jinsi muenendo wa Dunia kwa Sasa,utandawazi na athari zake,na hii hofu ya kifo nyakati hizi bado Kuna watu mnaweza kuthubutu kufanya uasherati au ngono? Maana Mimi sielewi...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu! Huu ni utafiti Rasmi nilioufanya mimi mwenyewe kwa miaka mitano. Utafiti wangu niliuweka kwa mtindo wa swali; WANAWAKE WAPI NDIO WENYE MAPENZI YA KWELI? Muda wa Utafiti: Miaka Mitano...
21 Reactions
54 Replies
7K Views
Kuanzia umri gani wa mtoto ni sahihi kuanza kuchapa akikosea? Natanguliza shukurani
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi mmekwaruzana na mtu ila bado unamkumbuka hii nini ? Kwa maana hata kusemeshana hakuna ila mawazoni yupo kama nini? Kumtoa hakuna kila saa yupo mawazoni na hii nini?
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Kisa cha wanandoa walioachanishwa kisheria wiki hii baada ya kuishi pamoja kwa miaka 21 kimenitafakarisha sana... Tatizo sio kuachana bali ni sababu za kuachana Mwanaume hakuwa na korodani (lugha...
17 Reactions
49 Replies
8K Views
Napenda nitambulishe id yangu mpya ambayo nitaibadilisha ila avatar itabaki hiyo hiyo. "The Destroyer of Feminists", and so shall my identity be. Binafsi mada zinazonipa shauku ni mada zinazo...
14 Reactions
60 Replies
4K Views
Ex: Eliza mambo Eliza: poa tu nani!! Ex: aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa. Eliza: hayo hayakuhusu sema we nani. Ex: mi Fredy Mcharo Eliza: jamn mzima wewe za siku!! Ex: nzur...
17 Reactions
179 Replies
23K Views
Naandika baada ya kufanya uchungu wa kina Sana Wapendwa tukiacha Yale mapenzi ya sekondari ,tukaja kwenye utu uzima yaani kuanzia miaka 27+ Ni ngumu sana kwa mwanamke kumpenda mwanaume asiye na...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom