Hivi ni kwanini wanawake huwa hawana maamuzi juu matumizi wa kingamaana akishaingizwa chumbani tu mwenye maamuzi huwa ni mwanaume?
Mwanzon anaweza uliza ziko lakini baadaye haulizi tena au...
Hili suala juu ya kuwepo kwa upungufu wa kiume kwenye jamii zetu lina ukweli ndani yake. Maana maisha ya siku hizi yalebadilika sana. Vyakula sio rafiki kwa afya, watu wana stress hivyo wanakunywa...
MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA
Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu,
Kwani tendo la ukutana...
Wasalaam wana jukwaa....
Katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa, tena kusalitiwa kunakouma zaidi ni pale unapobaini mpenzi wako kampa penzi mtu unayemjua halafu...
My Ex kaniomba sana kesho tuonane tu spend muda wakutosha kwa gharama zake mwenyewe. Amesema yuko so much stressed with her love affairs hivyo anataka nimshauri.
Mimi kwa sasa nimeshaoa tangu...
Mnamkumbuka kwenye stori ya Khumbu niliwaambia nikiwa Durban kuna wasichana takribani 5 nilijihusisha nao ukiachilia Khumbu?
Sasa kulikuwa na kasichana kamoja english figure, kilikuwa na ngozi...
Huwa nashangaa wanaume wengi kujifanya makauzu hasa katika jamii na familia zao but honestly kwa mimi nathibitisha hakuna Boy/Men mgumu kwa mwanamke.
Kuthibitisha hii, look mkiambiwa kazime taa...
Kuna familia moja tumepanga wote ni vijana tu wana kama miaka 24 25 hivi wana mtoto mmoja ni familia yenye uchumi wa chini sana hii imefanya mtoto wao wa umri wa miaka kama mitatu hivi kua ana...
Dah! Kama utani hivi, jana kani-text "Vipi kuhusu interview uliyoenda kufanya?" nikamjibu "hapana sikufanikiwa", akanitakia usiku mwema wakati si kawaida yake.
Asubuhi kanichunia, nikamtafuta...
Si unajua bna binadamu tumeumbiwa mitihani? Nilikuwa na stress yangu moja hivi shost wangu mmoja akaniambia ana mchungaji wake flani twende tukaombewe
Kufika kwa mchungaji lazima utoe historia...
Habari za leo watanzania wenzangu?
Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na...
Hata kama mkeo au mpenzi wako unampenda kiasi gani hata siku moja usije ukajiroga ukamwelezea kuhusu kipato chako au chanzo chako cha mapato hii inatakiwa iwe Siri yako
Unapomwambia mtoto wa kike...
Habari ya muda huu natumai muwazima nyote.
Moja kwa moja nisipoteze muda.
Tukio la leo(jana) limenifanya nikakumbuka miaka michache iliyopita nilipoteza fahamu katika moja ya usafiri wa umma...
Siku moja nilimuhadithia rafiki yangu kuwa nimelala kitanda kimoja na mwanamke akiwa amevaa chupi na sidiria, na mimi nilikuwa na boksa tu.
Niliweza kuvumilia na kuingia usingizini tena tukiwa...
Hii shughuli niliyonayo sio ya kitoto kuna manzi anashilikiana na sister yake ambaye umri wake ni Kati ya 30 - 40. Kibaya zaidi familia yenyewe ni washirikina tena ni moto kitaa wanawaelewa hadi...
Umeshawahi kujikuta unatamani kuvunja simu au kupotea duniani kwa dk kadhaa ukirudi duniani ukute ilikua n ndoto si kweli? basi mimi ilishawahi nitokea siku 1 nilichepuka nikadakwa na mpenzi wangu...
Amani iwe nanyi?
Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.