Bwana wetu Yesu asifiwe wapendwa, Asalaam naalykum kwa waisilam wote natumaini mu wazima wote.
Moja kwa moja nizame ndani ya maada wapendwa. Mimi ni kijana ambaye natarajia kuingia kunako ndoa...
Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala.
1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake...
Umepewa nauli, umelipwa kama short time unapata nguvu gani kusema nina mimba yako?
Halafu nina mimba yako nafanyaje? Unakujaje uko danger? Tembeeni na kinga siyo kujiachia kama mkasi.
Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa...
Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kumekuwa na kasumba la wadada kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani tena kwa kujiamini. Mimi binafsi nikisikia mwanamke anaongelea...
Kwanza nguvu huwa zinaongezeka,Raha zaidi,utamu zaidi na starehe sana kwa mwanaume unapokula penzi la mwanamke yoyote aliekuzidi au mwenye hadhi ya juu zaidi.
Kwa mfano:
Kula penzi la mwanamke...
Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida...
Habari wana JF
Katika Maisha kila mtu ana mtazamo wake katika mambo mbalimbali, huu ndio mtazamo wangu katika mapenzi.
"Mwanamke anaekupenda kweli ni mama yako tu, kwa sababu ndio mwanamke...
Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa.
Na jinsi gani unaweza...
Kutoka Ukurasa wa Instagram wa Idd Makengo
Naomba unisaidie kama hiki ni kitu kibaya kwa mwanangu kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mwanangu wakiume alinyonya mpaka alipofikisha miaka minne ndiyo...
Kuna mzee alikuwa mkali sana kwa binti yake now kazeeka anaumwa basi binti yake kawa malaya mtaa mzima.binti anamuongezea stress tu mzee wake
wenye watoto wa kike/wadogo za kike tupeni...
huyu dada nilimuunganisha na watu wa Kampuni flani kikazi. alikuwa dada mzuri ila sikuwa na mpango naye kabisa. mara nyingi alikuwa anaonesha nia ya kutaka uhusiano. mimi niliona ni kujiongezea...
Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila...
Ipo hivi mimi na wife tuna miaka saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba sana msamaha akakubali na...
Ukimtokea mdada wa Kigoma kwamba umempenda na unataka kumuoa basi ataifanya habari hiyo kuwa siri, kwasababu anaogopa kuhujumiwa.
Uhaba huu wa wanaume Kigoma umesababishwa na nini?
Kuna nadharia...
Nina wiki mbili toka nifike mjini hapa. Hali ya hewa na internal forces vinachochea kupiga mechi za nje.
Siku tano za mwanzo nikamchek mtoto mmoja niliwahi kumu import mwaka jana. Akafurahi sana...
Mtu anakuita au unakutana nae baa anakuambia kwa roho nyeupe agiza bia ili mpige story na kupeana kampani cha ajabu unaanza kunywa kama unamkomoa kisa tu umepata offer ya bure.
Bia moja unapiga...
Haya mambo nilikuwa naona kwenye movies nk but nimekuja kujikuta naonana nalo live bila kujitambua ni hadithi ndefu ila kiukweli nahisi ni shetani amenitembelea na hii ni baada ya kutumbukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.