Unajua mjini kuna wanawake Ila wameji categorize kuna madada, mabinti na akina mama.
Ila sasa hawa akina mama wanaojiita kina mama wa mjini wananishangaza zamani kulikuwa na utofauti Kari ya...
Ni juzi tu hapa nilipata mshtuko baada ya kupokea simu toka kwa jamaa yangu wa karibu simu iliyosababisha nipoteze mwelekeo barabarani na kujikuta ndani ya mtaro.
Ilikua tarehe 26/12 baada ya...
Inapofika wakati mpenzi wako anataka kuolewa au anataka kuoa na wewe ukijiangalia hauko tiyali kutokana sababu mbalimbali labda bado unasoma,hujajipanga vizuli, au kuna mambo unataka uyaweke sawa...
Huyu dada nmeanza naye uhusiano baada ya kukutana naye Mlimani City. Tukale wote na kupata nafasi ya kufahamiana. Then nikamrudisha Chuo. Yupo hapo Chuo cha Ardhi.
Last weekend akanambia yupo...
Salaam wana MMU
Ukatili wa kingono kwa watoto umezidi kuongezeka kadri siku zinavyokwenda. Pamoja na juhudi za serikali na jamii bado vitendo hivyo vinaendelea.
Adhabu mbalimbali hutolewa kwa...
Wanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini?
Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume...
Maisha ya malezi yanachangamoto zake, na changamoto iliyopo ni mtoto kukataa au kumfanya akaubaliane na mwenza ambae mmefika hatua ya kutaka kuishi pamoja kama mume na mke ila mtoto ndio haivi na...
Habari ndugu zangu!
Nimeachana na mtu niliekua nampenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja...
Wakuu,
Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..
Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?
Mimi;
Kazime Taa
Huyu hapa...
Hivi ni kwanini mwanamke akimzidi umri mwanaume familia inaleta vikwazo juu ya mahusiano kati yao mpaka inafikia kuachana unakuta labda mke ana miaka 40 na mume 35 au mke awe 45 na mume 40 inakuwa...
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku.
Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao...
Ndugu zangu naomba ushauri
Mimi ni kijana ambaye nina miaka 23 naishi Canada.
Kuna kipindi nilikutana na dada fulani FB huyo dada tuliwai kusoma wote shule kabla sijaenda Canada.
Sasa tulivyo...
Mdogo wangu umri miaka 23,mwaka jana tu alimuomba mzee na marafiki kumuandalia harusi ili aweze kuaga ukapera.
Wazazi na marafiki wakafanya michango na kuandaa harusi kubwa tu na dogo akaoa...
Demu mzuri wa sura na umbo. Ila muongo mpaka akisema kitu unakuwa njia panda. Hujui uamini au usiamini.
Juzi alinambia anaumwa sana hawezi hata amka. Hoi bin taabani nikamwambia nimpeleke Hosp...
Ni mdada ambaye ana mume wake but tunajuana mda tuu. Alipata tatizo alipokuwa anakaa akahitaji kuhama na akataka msaada wangu kupata chumba
Mahali nilipopanga mimi kulikuwa na nafasi ila hua...
Nimekuwa naisikia sana hii kwamba wanawake wazuri sana huwa mara nyingi hazimo sana kichwani. Hii ni kwa dunia nzima, kwa mfano ukisoma novel nyingi za waandishi wakubwa wa novel duniani...
Hivi unapata wapi nguvu za kujirekodi utupu na kumtumia mtu(mpenz wako)? Serious? Kabisa unakaa unachukua video au unajipiga picha?
Aisee me mwanamke akinitumia picha au akiniuliza kama napenda...
Huu ushuhuda nimetumiwa na mtu nikaona ni share nanyi! Najua yupo mtu utamfaa ...
KILICHOPATIKANA KWA MAOMBI, KITALINDWA KWA MAOMBI!
Nilianza kuhisi tatizo baada ya kuona mbona kama vile ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.