Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
poleni namihangaiko ya siku na shughuli hapa na pale wanaJF Japo sina skills za kusimulia twende nayo [emoji116][emoji116] Mimi nikijana mwenye umri wa Miaka 29 kwasasa, nilibahatika kuoa mwaka...
40 Reactions
90 Replies
12K Views
Sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume. Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu. 54 wana low sperm count 7 mashoga 33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa...
8 Reactions
89 Replies
8K Views
Habari za masiku? Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu. Ni hivi, kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na...
9 Reactions
172 Replies
18K Views
Sasa hivi watu wako busy kuperuzi mitandaoni kwani dunia ni kama Kijiji mtu unapata vyote ambavyo unavihitaji.. Ukitaka kufurahi na kuvunja mbavu huitaji mpenzi akuchekeshe unaingia katika page...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Miezi sita hivi nilikutana na mrembo wa telegram huyu mrembo nilimpata baada ya connection kuona kwenye uzi fulani wa machimbo na bei zake, ile pisi ilikuwa ya ukweli na nikajisemea nanunua hii...
8 Reactions
55 Replies
8K Views
Miaka inaenda kasi sana, leo hii watu wanatumiana sms, emoji nk. Lakini miaka yetu wakati tunaanza kutafuta wapenzi tuliandika barua kwani haikuwa si rahisi kusimama na binti na ukaongea naye...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari za leo wakuu Kilichonifanya kuandika uzi huu ni hili suala la Wazazi. Nadhani wengi wenu mnakumbuka enzi za shule hasa secondary na high school ilivyokuwa, ule wakati wa story za vijana...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu, naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sasa hivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi. Nikiwa na...
9 Reactions
227 Replies
33K Views
Hivi Unawezaje Kusex Na Demu Yoyote Kisa Tu Kajilengesha kwako??? Aiseee...😁 Me Kusex Na Demu Mpaka Nimkubali Yaani Nimuelewe Kwanza.... But.... Kuna Watu Hawaangalii wao Ni Pitapita Tuu...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Kuna msemao mpende akupendae asiyekupenda achana naye Je, ulishawahi kutumia nguvu na bidii kumuonesha mpenzi wako unampenda sana na unamjali sana lakini yeye akawa hana habari na wewe?
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Thread Deleted By Moderators because JF Members Just Keep On Throwing Stones Instead Of Advising
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wandugu kwa mara nyingine nilishawahi leta uzi hapa kuhusu mahusiano na mdada mmoja yenye tiltle kuwa tumeachana kisasa. Kiukweli baada ya pale maisha yaliendelea lakini wiki moja kabla ya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Bado sijaoa umri wangu miaka 30, Nina wadada wawili wa kazi za ndani nyumbani kwangu mmoja wa Iringa na mwengine wa Singida nipo nao tokea 2012 mpaka sasa. Kazi zangu nyingi nazifanya mikoani...
9 Reactions
121 Replies
19K Views
Nipo hapa Hyatt Regency naendelea kula upepo mwanana kutoka ferr huku nikiendelea kupata kinywaji barid[emoji484] Nataka kusema na nyie wakinadada ambao mnatuma marafiki zenu kujilengesha kwa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau je ni lazima kumgaramia mpenzi wako wa kike kwa kila kitu mnapokua ktk hatua ya urafiki na uchumba? Mathalani kumnunulia sim,kumlipia kodi & billz,zawadi za hapa na pale ilihali...
5 Reactions
47 Replies
7K Views
! MJINGA ! Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa. Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri...
1 Reactions
5 Replies
917 Views
Mwanamke mmoja nchini kenya ameonekana akiandamana Kutafuta mwanaume wa kumuoa bila masharti yoyote ili kumsitiri. Anasema hajali umri, Pesa, Sura, Hadhi bora UHAI tu. Wewe endelea kuuliza Namba...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Bila kuchelewesha mada zifuatazo ni faida na hasara za kuoa mke kutoka familia yenye uwezo kifedha. A) faida 1.Kupata zawadi nyingi wakati wa harusi.Mnaweza pewa zawadi ya fedha, vitu vyote vya...
9 Reactions
11 Replies
4K Views
Habarini wana nnzengo w MMU . Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Tuchukue nafasi hii kuwaomba radhi wapendwa we2 ambao tumewahi kuwasaliti na bado tunawapenda ila ni shetani tu mkata kamba...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za weekend wakuu? Naomba niende kwenye mada husika, iko hivi nina mahusino na mke wa mtu kwa muda wa mwaka sasa, huyu mwanamke nimekutana nae katika mazingira ambayo mimi sina kazi...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom