Naombeni mwongozo huyu huyu mwanamke nilienae anahitaji nifike kwao akanitambulishe nyumbani,
Kama mnavyojua ukweni kabla ya kwenda kuna maandalizi ni lazima uyafanye ili usije ukaibika hivyo...
Habari zenu wadau,
Nilikua nahitaji mitazamo yenu kuhusu kuzaa watoto, je kuna ulazima wa kuwa na mtoto hapa duniani hata kama umeoa? Binafsi mimi sipendi watoto na sina mpango wa kupata mtoto...
Wakuu,
Ni furaha ilioje jioni hii ya leo nikiwa nimerudi toka mahangaikoni nimechoka vibaya mno, kuna bibie ana siku ya 3 yupo hapa kwangu.
Sitaki kusema ni new project, ila ni msichana fulani...
Unatafuta nyasi jangwani? Hivi enzi hizi ni za kutafuta bikra? Tena mjini!
Ewe mwanaume acha kuhangaika kuhusu bikra. Hakuna! Narudia tena hakuna.
Sifa nilizopewa leo sistahili maana ilikuwa...
Habari za jioni wapendwa wote.
Sawa na kichwa cha Uzi hapo juu,naombeni mchangi wenu wa mawazo katika hili.
Mimi ni mtoto wa 2 kuzaliwa katika tumbo la mama yangu nikitanguliwa na dada yangu na...
Habari zenu wakubwa!
Kuna hili suala ambalo linanishangaza. Utakuta mtu yuko na mwanamke mzuri faragha lakini wamezima taa!.!?
Binafsi napokuwa faragha naburudika sana ninapoona jumbile la...
Wakuu kuna tatizo lolote kufanya mapenzi wakati bibie yupo kwenye siku zake maana kusubiria zile siku kadhaa inakuwaga mtihani sana kwa vile mimi ni mwanasimba nacheza hivyo hivyo pira biriani...
Wanawake wengi Utakuta wana matatizo ya kiafya ya mda mrefu na ya kujirudiarudia mfano utakuta mwingine hapatani na vitu vya baridi akitumia tu hata kidogo au akila kitu flan basi moja kwa moja...
Kweli mapenzi hayana komando nimeamini.
Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini.
Eti anasema simjali kwani...
Nikikumba wakati nikiwa kwenye 20s na early 30s, nilikuwa na uwezo Mkubwa Sana wa kupiga game. Ingawa nilioa nikiwa na 30, nilikuwa nipo fit kitandani. Mola kanijaalia nimepata na watoto 4, sasa...
Mungu aliposema tuishi nao kwa akili alikuwa na maana yake kwasababu alijua kwamba wana akili sana na ni yeye ndiye aliyewaumba, usijaribu kumbishia kwasababu kipindi anawaumba wewe hukuwepo...
Kama title inavyojieleza wakuu,
Nina mpenzi wangu nampenda sana naye ananipenda Japo csijui ni kwa kiacsi gani kwasababu kila mtu na moyo wake.
Sasa huwa inafka muda mwanaum huwa nahitaj...
Wakuu huwa inatokea unakutana na mwanamke alafu akawa anakomaa aje/apajue unapoishi...
Sasa kwa mwingine inawezekana akawa ana mke, au basi tu hataki kuleta wanawake nyumbani ili kulinda brand...
Wapendwa naombeni sijui ushauri au sijui niseme faraja mana hata sielewi mimi ni mdada umri 27 mwaka jana December nilifungua mtandao unaitwa Badoo huko ili nipate marafiki wa kuniliwa kama vile...
Nilikuwa nandoto yakuchanga pesa mdogo mdogo mpaka nifikie kumiliki pesa nyinginyingi kuanzia hata milioni mia. Katika kipindi hiki chamiaka mitatu toka nianze kupambana tayari ishafikisha milioni...
Habarini wanajamvi.
Ishu ipo hivi, kuna mdada mrembo. Nilitana nae mara kadhaa sehemu flani hivi last year mwezi wa 7 tukazoeana kimtindo.
Katika mazoea hayo, day moja baada ya kupiga zangu...
Habari wana JF,
Natumaini mu wazima wa afya ni Dua na maombi yangu kwa mola ,azidi kuwalinda na kuwapa maarifa na hekima ili tuzidi kufundishana na kupeana mawazo, Narudi kwenye mada.
Binafsi...
Habari za humu ndani?
Nawashangaa sana watu hasa wanaume ambao wanaona sifa kujitangaza kutembea na wanawake wengi kwa kutaja idadi kadhaa.
Sasa mimi niwaulize unapata faida gani unapotembea na...
Inavyoonekana mahusiano ya mwanamke na mwanaume yamekuwa ni kero duniani. Bila shaka ukosefu wa uaminifu, magonjwa, stress, ugomvi, nk vimechangia watu wengi kuamua kuishi maisha ya upweke na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.