Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za muda huu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Kuna jirani yangu naishi nae compound moja, kuna siku alitaka kuangalia kitu fulani kupitia simu yangu, kupitia Internet ila kwa...
16 Reactions
160 Replies
17K Views
Habari za wakati huu wapendwa na wanajamvi wenzangu wa MMU. Poleni kwa kazi na kwa wale walioenda kusali hongereni kwa ibada. Nianze mkasa wangu juu ya huyu Baby mama wangu, Hapa juzi kati (wiki...
7 Reactions
85 Replies
9K Views
Ujana ni maji ya moto,je ungekuwa ni wewe ungefanyaje? Miezi miwili iliyopita baada ya kupata habari kuwa dada J ambaye yupo hapa mtaani kwetu amemaliza kidato cha 4 na matokeo hayakuwa mazuri...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Kama hujawaipima pima, au ni muda mrefu sana umepita toka upime, ni nini kinakufanya usiende kucheki afya yako? Kama umesha pima, ni nini kilikufanya uende kucheki afya yako, je ilikuwa regular...
0 Reactions
104 Replies
5K Views
Wadau kuna mrembo flani hivi ni muislamu ila tumeelewana sana na tunatamani tuishi kama mume na mke, mm ni mkristo. Tatizo la huyo manzi hataki kubadili dini na ameshauri kama tukikibalina kuishi...
5 Reactions
95 Replies
9K Views
Wadau, Katika pita pita zangu. Nilikutana na wanaume wawili. Sasa kati ya hao mmoja alinipatia mawasiliano. Mawasiliano yakaanza na sasa unamiezi miwili. Huu watatu nikapokea namba ngeni...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Ukiondoa akili yako kwenye mapenzi na ukaiwekeza kwenye kutafuta pesa,kutatua changamoto za watu,kujenga msingi mzuri kwa kizazi chako kijacho!maumivu ya mapenzi utayasikia wasafi tv! Yaani...
3 Reactions
3 Replies
885 Views
Bado sijapata jibu kama mtu anazaliwa na roho mbaya ama anajifunza kuwa na roho mbaya. Yaani sipati picha kuna mwanamke nilishawahi kutoka nae kimapenzi hata ukimsaidia ndugu yako wa damu...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Sisi tumezaliwa na baba mmoja ila watoto tupo milioni kadhaa!baba alivyokuwa hai alituaminisha kwamba sisi watoto wake tuna maisha mazuri sana na sisi ndio watoto pekee tunaishi vizuri ndio maana...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna dem alimnyima Ken na akamwmbia eti "Let's just be good friends" Lakini kila time huwa anampigia simu akimueleza shida ndogo ndogo eti amsaidie. Sasa leo amempigia simu mchana akamwambia...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Dah! Sijui ninafeli wapi kila mwanamke ninayekuwa naye ananikimbia na kama ni mashine ninayo yakutosha na pia namhudumia kila kitu anachohitaji sijui nakwama wapi jamani Sent using Jamii Forums...
6 Reactions
107 Replies
12K Views
Photo Courtesy. Images were taken from previous incidents. In the past years kakamega county has been well known for a good record when it comes to marital issues, hence, back then there has...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Baba Farzana, mpangaji mwenzangu hapa Mw'nyamala kwa mama Zakaria. Mimi na wewe tunaelewana vizuri sana. Wewe ni mwenyeji wangu kwa sababu nimekukuta hapa tayari una miaka mitatu. Mie ndio naanza...
24 Reactions
111 Replies
16K Views
Wakuu habari za mda huu. Kwanza kabisa TGIF. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja bila kupoteza wakati. Mimi ni kijana bado yanki kidogo nimehitimu chuo kikuu mwaka juzi. Sasa tatizo langu...
2 Reactions
119 Replies
10K Views
Kuitambua bikira feki ni rahisa sana. Mwanzo utaingiza kwa taabu sana lakini baada ya hapo, ndani utakuta ni kupana mno.....tena huenda usitoshe vizuri ukapwaya pwaya. Njia nyingine ni...
2 Reactions
37 Replies
20K Views
Imebidi nibishane mno na huyu mama wa makamo anayefanya hii biashara kwenye saluni za kike zenye hadhi ya juu mikocheni masaki na oysterbay... Pia na maeneo ya kinondoni Sex toys /sex dolls ni...
24 Reactions
156 Replies
32K Views
Habari zenu wadau? Poleni na mihangaiko na vita vya Corona. Ninakuja mbele zenu kuomba kujua kuna changamoto gani ambazo watu wa ndani ( introverts) wanazipata wakitaka kuanza mahusiano na jinsi...
12 Reactions
436 Replies
42K Views
Habari za asubuhi wakuu, natumaini wote mmepata usingizi mzuri tofauti na mimi ambaye sijaupata takribani siku mbili sasa. Mkasa wangu unahusiana na huyu binti ni jirani yangu, tulitokea...
17 Reactions
126 Replies
12K Views
Wakuu nimeota ndoto ya ajabu usiku wa kuamkia leo (baada ya kukutana na yule ex wa rafiki yangu na kukubaliana kuwa nae kwenye mahusiano) Refer: Nipo Njia Panda Naomba Mnishauri - JamiiForums...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Asalam wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na malalamiko ya mara kwa mara kila kukicha kwenye suala zima la mahusiano. Wanaume wanaonekana ndio wanaumizwa zaidi kwakuwa wao ndio...
4 Reactions
73 Replies
9K Views
Back
Top Bottom