Hi wana JF, naomba niende kwa mada moja kwa moja, Binafsi Nimekuwa na marafiki wengi washkaji nk .ambao kiukweli tumekuwa wote tangu utotoni Hivyo tabia zao kwa kiasi kikubwa ninazijua vzr sana...
Wazazi wamezeeka nyumba ni kubwa na wako peke yao na wajukuu wadogo tu. Na kwa kuwa eneo la nyumba ni kubwa kuna vyumba vya nje (double self) nilivijenga kwa ajili ya kufikia kila nnapoenda...
Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya...
Ni story ipi au jambo gani huwezi lisahau lililo kukuta kwenye mahusiano yako
mi nakumbuka siku ya kunza kuaprochi nilitetemeka sana hadi binti niliyekuwa namtongoza mbona unatetemeka vp unaumwa...
Kwanza kabisa poleni na majukumu wakuu lakini pia HAPPY EASTER. Kama tittle inavyosema hapo juu kwamba ni sahihi kama mtu wako humuelewi tena au umechoshwa na matendo yake [boyfriend&girlfriend]...
Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno
Zamani nilikuwa najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa!
Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya...
Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao...
Ninahitaji mchumba miaka 25-27 awe mwenye hofu ya Mungu awe mwenyewe kujitambua kuwa ye2 ni nani? na anataka kufika lengo gan? asiwe amezaa anitafute nipo serious namba ya simu 0672585133
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.
In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na...
Habari wanaJF, kwa wale waliopitia post yangu iliyopita baada ya kupata mvunjiko wa moyo nimekaa chini na kugundua baadhi ya makosa niliyoyapuuzia, haya yanawezwa kufanywa na yoyote liwe kama...
Habari za Leo wanaJamiiForums wote na poleni kwa majukumu ya kilasiku ya kutafuta kipato.
Niende kwenye mada moja kwa moja kiufupi mimi ni mpita njia nimetokea maeneo ya kilifi Kenya kuja...
When I was a shortie, I couldn’t wait to grow up and experience the bachelorhood. The visions I saw on the telly about bachelor’s life gave me thrills, man. I figured I’d be at the best peak of...
Hii kitu inatokea mara nyingi kwa michepuko au wasichana wanaonimendea. Mke wangu huwa haniiti wala hajawahi kuniita baby. Nikimkuna sana ataishia kuniita mpenzi,huby, dear nk.
Kwa kweli...
Naomba mnisadie hili jambo.
Nimedumu na mpenzi wangu kipenzi kwa muda wa miaka mitatu mpaka sasa.
Tuna ndoto kubwa ya kuja kuwa wanandoa muda si mrefu, lakini katika miaka mitatu mimi "male"...
Wakuu kwemaaa kabisa!
Nkamwambia usiniombe msamaha, hayo ndio matokoe ya ushamba na ujuaji, nilikuambia usiooe mwanamke asiye na bikra, hukunisikia licha ya kukushauri kwa nguvu zote. Tena mpaka...
Nimefurahi sana vifurushi kupanda ndoa zetu zipumue weeeee,
Maana mimi na shemeji yenu hapa maelewano yalikua ni zero.
Alikua haambiliki mara facebook, mara Instagram, mara Twitter.
Watu...
Habari wandugu,
Kuna swali nimekaa nalo sana kichwani, mwingine anaweza kuona ni la kijinga ila ni swali ambalo ninahitaji kufahamu.
Hili jukwaa la mapenzi na mahusiano ndio sehemu haswa ya...
Habari ya hapa!!!!!!
Naomba ufahamu kuwa sipendi tabia ya ushoga / usagaji. habari ya kutaka kunitumia kadi ya benki na mirathi uliyoachiwa na wazazi wako ili nikutunzie mpaka utoke huko nnchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.