Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nanukuu mashairi ya wimbo "Nje ya box" wa kundi la Weusi Mungu nijalie demu mpenda pesa Kila siku nipigane kuwa bakhresa Asinipende mimi apende verosa Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..! Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila...
14 Reactions
75 Replies
7K Views
Hii ni kauli ya aliyekuwa Rais wa Tz Mzee wa Ruksa a.k.a. baba Hussein. Alipokuwa akitoa neno la faraja msibani Chato. Ushauri: Oeni wanawake wenye umri mdogo (mnaowazidi miaka) ili mpate wa...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari Zenu wana JF Poleni na Msiba wa Rais, Tuendelee Sasa kipindi wakati nimemaliza Form four nikiwa Nyumbani tu Mama yangu Mzazi Aliniambia hataki nikae tu hivi hivi ni heli Anitafutie kazi ya...
19 Reactions
62 Replies
7K Views
* Nimefundisha semina nyingi za wajane 99.9% wanaohudhuria ni wanawake. Mchango huu hapa chini una ukweli usiofichika. 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 SABABU INAYOFANYA WABABA KUFA MAPEMA!! Baba anapokuwa bado...
29 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa Wanaume na Wanawake. Mimi binafsi mwanaume akiwa na sifa sifa mbele za watu huwa sitamani kuolewa naye.
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Fursa zipo kila mahali , kinachotakiwa ni jicho tu la kuziona na kuzifanyia kazi..baada ya hapo unatulia na kula hela... Date my family Tanzania ipo nchi zingine pia kwa majina ya hizo nchi.. Ni...
22 Reactions
177 Replies
10K Views
Jaman habari za wakati, Kwanza wote polen na kuondokewa na kiongozi wa Kitaifa. Mimi Nina mchumba kabisa kabisa. Ila wandugu yamenikuta leo. Nimevusha kadogodogo furani na nikafanikiwa kukimbiza...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wale tuliowahi kuambiwa taarifa hizi za kusitkitisha na kuvunja moyo njooni tupeane moyo na nguvu za kuendelea na maisha. Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
153 Replies
17K Views
Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo. Kuna wengine hadi walikaribia kufirisika wengine ushindani ulikuwa mkali nk. Tupe uzoefu wako
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii imezoeleka na sasa hivi imeshakuwa kama kawaida yetu wanaume wote kuambiwa tunapenda kutest mitambo hata kabla ya chochote kile,sawa tumekubali hii kwetu (hasa mimi) kukaa na wewe kama kaka na...
12 Reactions
115 Replies
13K Views
Salaam, Naomba tuzungumzie hili suala mana inawezekana wengi wanateseka lakini hawajui. Kwa watu wenye uelewa juu ya hili ni vizuri kutueleza. Karibuni.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako. Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena...
14 Reactions
84 Replies
8K Views
Imenitokea jana nimekutana na dada ambaye tumesoma naye nikaenda naye kwenye bar ya karibu,matokeo yake kaanza kuagiza vinywaji hata majina ana babaika,kiungwana wanaume tulio wengi uwezo wetu ni...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Ushauri wakuu Kuna binti (mpenzi) kanigeuza Erick Omondi maana siku hizi akiwa bored ndio ananitxt ili tuchat acheke ila tukipanga aje maskani anadai kwa sasa yuko busy hawezi pata muda wa kuja...
10 Reactions
66 Replies
4K Views
...
2 Reactions
98 Replies
5K Views
Omekua kawaida sasa kuona kila anayekutongoza anajaribu kuonesha how much he has. labda hii inachangiwa na namna tunavyoonekana kuwa ni viumbe tunaopenda kuhongwa. Utakuta msg inbox, "umekula?"...
39 Reactions
200 Replies
12K Views
Hivi Tanzania hii kuna wanawake wameumbika vizuri na wana maumbile mazuri kuliko wanawake wa kanda ya ziwa? Kanda ya Ziwa tumebarikiwa kila kitu, kuanzia utajiri wa rasilimali hadi kwa wanawake...
4 Reactions
129 Replies
29K Views
Dereva Roger Bouvier Ramani ya Tunnel lilipopita Celine Figard Baba wa Celine Bernard Figard Nimelazimika kuweka huu mkasa leo hii siku ya Alhamisi kwa sababu kesho Ijumaa nasafiri kwenda...
10 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari wana JF Niende kwenye maada hawa wake za watu na wamam watu wazima wanaonga kiwango cha SGR Nina experience kwenye hili Kwahiyo nawasihii vijana mnaopigwa vizinga deile hamieni upande...
9 Reactions
88 Replies
8K Views
Back
Top Bottom