Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nilisomea udereva, katika hustle zangu nilifanikiwa kuajiriwa kwenye makampuni ya asafirishaji wa mafuta kwenda nchi jirani kama congo, zambia Et el. Kwa namna yoyote ile nilipambana zaidi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kabadilika sikuizi yaani ukimpigia simu hapokei, ukiingia Online Whatsapp unamuona. Anakupigia pale anapojisikia yeye, anakuuliza unaenda wapi unamwambia natoka naenda sehemu ananuna kwanini...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university. Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo...
38 Reactions
124 Replies
10K Views
Natumai hamjambo wakuu. Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya...
12 Reactions
146 Replies
14K Views
Kwenye maisha ya ndoa unatakiwa uwe na akili sana na kufanya maamuzi sometimes magumu ili maisha yaendelee. Kuna wanaoamua kufuata mfumo dume kutokana na aina ya wake zao, wengine mfumo...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani...
14 Reactions
62 Replies
7K Views
Ndugu zangu kijana wenu najipanga kati ya mwezi wa 12 Au wa kwanza najipanga kuoa hivyo napenda kufahamu mambo gani muhimu natakiwa niwe nimeyatimiza kabla sijaingia katika ndoa Naombeni ushauri...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mungu awabariki sana na kuwajalia maisha marefu kwa wanawake wote ambao pale wapenzi/waume zenu pindi tunapochelewa rudi home hamlali mnakaa sebleni mkitusubiri mpaka turudi. Sometimes unakuta...
27 Reactions
245 Replies
15K Views
Wadau nilikua Nina discuss na rafiki mmarekani mweusi kwa njia ya video call kwamba Tanzania inafahamika kwa kitu gani duniani. Nikamwambia tunafahamika kwa vivutio vya utalii pamoja na wasichana...
3 Reactions
57 Replies
10K Views
Ili uweze kumpata kirahisi mwanamke unayemtaka unatakiwa kujifunza mbinu mpya za kutongoza. Wengi wanashindwa kuwapata watoto wanaowapenda kwa sababu ya kutumia maneno ya kawaida au ambayo...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Asante Mungu!!! Ni miezi 18 tangu Mahakama kutengua ndoa iliyofungwa miaka 8 iliyopita. Na huu ukawa mwanzo wa maisha mpya, maisha ya utulivu wa akili, amani moyoni na huru wa maamuzi.Na ukawa...
10 Reactions
31 Replies
5K Views
Naandika haya kwa uchungu mwingi sana, imekuwepo tabia ambayo inatia maudhi kama si hasira ya kwamba mnapotofautiana wewe na mwenza wako halafu katika majibizano yenu wewe mwanaume ukaamua...
21 Reactions
230 Replies
15K Views
Sina maneno meengi sana ila naomba niwakumbushe wanaume wenzangu kwamba toka enzi na enzi formula tuliyokuwa tunatumia ni moja tuu, kwamba "MKE NI MALI YAKO NA CHOCHOTE ATAKACHOVUNA NI HALALI...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Dada aliyedhalilishwa kwa kupigwa ikisadikika kwa kufumaniwa na mme wa mtu amesema wakati wa shamlashamla aliibiwa shilingi laki tisa Mimi sham natuma salamu Kwanza pole kwako kwa kudhalilishwa...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam great thinkers Talaka zimekuwa gumzo/talk of town. Kwa mtazamo wako, unahisi nini kinapelekea, watu waliopendana, wakaoana kwa hiari/utashi wao bila shuruti, wakaishi na kupata watoto...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wakuu Nimekuwa nikiota sana ndoto nyevu usiku ,Mara ya kwanza nilijua ni hali ya kawaida kwan utotoni ilikuwa inatokea ila sasa ni too much, halipiti week hayo mambo hayajanitokea ...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Nikiangalia shule nyingi za sekondari, walimu wa kiume mna kazi sana hasa kwa hawa mabinti kiukweli kibinadamu wanatamanisha na walimu wenyewe vijana ndio wengi siku hizi. Sijui mnaepuka vipi...
4 Reactions
65 Replies
20K Views
Habari zenu wakuu Ule usemi wa kwamba mwanamke haelewi kitu anachokitaka hasa kwa mwanaume unazidi kuzaa facts zaidi. Ebwana eh huyu dem yani ni anapewa kila kitu na jamaa ake. Unajua kila...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom