Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wadau Habari za asubuhi hivi kuna haka katabia sisi mabachelor wenye vyumba viwili na kitanda kimoja tukipata wageni mara nyingi wageni wanakuja na mashuka yao huwa hatujui kama wasafi au Lah mara...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Closed
Single mother umekua wimbo saizi, kesi zetu ni nyingi tunachekwa na kudiscussiwa sana but ndo ishatokea Maisha hayana rewind button. Haya wajameni ushauli wenu ni muhim kwa single mother mim...
10 Reactions
58 Replies
6K Views
Tuanze kama ifuatavyo JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSAHAU: Hakuna jambo ambalo hutuliza fikra na hisia za mapenzi kama kukubali kumsamehe yule aliyekuudhi kabla hata hajakuomba msamaha na kuamua kusahau...
2 Reactions
35 Replies
32K Views
Mojawapo ya mambo muhimu katika mafanikio ya aina yoyote maishani ni kupata msaada wa aina Fulani kutoka kwa watu wengine. Mtu hawezi kufanikiwa bila msaada wa watu,kwa maana hakuna mtu anayejua...
31 Reactions
90 Replies
33K Views
Habari za leo wakuu, Katika swala la kuoa wakuu, tusilete mchezo tuoe wanawake wenye hela, kazi nzuri, na wanaotokea familia za kitajiri ili hata siku usipokuwepo watoto wako wasipate shida...
18 Reactions
88 Replies
8K Views
Nisaidieni bure. Nimejengeka na mentality kua hela ya mke ni yamke na ya mume niyafamilia. Jambo linalonifanya nione bora kuoa golikipa tu kuliko kuoa mke alonakazi iso na msaada ndan ya nyumba...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Ipo hivi, huwa najiuliza sana kwamba ni bora kuelezea hisia zako mapema baada ya mazoea ya muda mfupi au kusubiri subiri kwa muda . Kwa sababu naona unaweza ukawahi ukaonekana...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau. Je, hii ni kweli maana kwa nayoyasikia kwa rafiki, ndugu na jamaa huwa hazidumu drama nyingi ndoa za maskini ambao hawapajui chuo kikuu zinadumu na zina amani kuliko za waliosoma...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanaume wenzangu wote popote duniani kwa kazi kubwa ambayo tumeifanya tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka sasa! Kwakweli tumefanya kazi sana, tumeteseka sana...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Salaam sana wanabodi! NANI AJUAYE KESHO? Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na...
9 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari za leo wakuu, Leo ngoja niweke wazi moja ya tatizo langu linalonikumba. Kiukweli niseme tu ukweli nina bahati ya kujenga urafiki na mwanamke yeyote anayebahatika kukutana namimi nakukaa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Hivi Umewahi kuumizwa na mtu ambaye ulimuamini sana? How did u handle it guys? [emoji50][emoji50][emoji50] Zamani sana Ilikuwa Darasa La 7 B Bunge Primary, kuna msichana niliwahi kumuamini hadi...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
KAMA KWELI UNAMPENDA MVUMILIE 🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷 Wahenga walisema mvumilivu hula mbivu.Ndoa nyingi za mababu na mabibi zetu zilidumu sana mpaka kufikia hatua ya kufa na kuzikana . Lakini ndoa nyingi...
3 Reactions
4 Replies
787 Views
Kuna Wanawake Wana Kazi Zao na Wana Hela, Kuna Wanawake Kwao Wako Vizuri, Yani Pesa Zipo. Kuna Wanawake Wanajua Kutafuta Pesa, Hata kama Hawana Kazi. Pia Kuna Wanawake Hawajitumi, Wao Ni Kuomba...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
Katika jambo ambalo huwa linanisumbua ni hili la ndoto. Namshukuru Mungu huwa naota sana haipati siku 3 bila kuota jambo lolote, hata lisilonihusu mimi laweza linalohusu jirani, ndugu na watu...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Kwa bahati mbaya wazazi wangu wamefariki nikiwa mdogo japo sio sana, baba alifariki 2004 nikiwa form 2, mama alifariki 2006 nikiwa form four,{mwenyezimungu awalaze mahala pema peponi} Jana...
2 Reactions
0 Replies
638 Views
*""";;;:::,,,,,,"""""""":::::;;;;,, : [emoji177] Muamshee mumeo kimahabaaa yoteee bibiiii eee hydr lakooo [emoji177]Mkande mabega, miguu, mikono mpaka aamke. Akishaamka anaweza kukwambia...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
1.Uhusiano wa single mother na mwanaume aliye zaa nae hauwezi kufa kwa sababu bado anatembea na damu yake. 2.Kipaumbele kikubwa katika mahusiano na single mother ni mwanae cha pili yeye cha tatu...
11 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu. Mimi ni kijana (27) na nimeoa. Nina mke wangu nimpendaye katika maisha yangu ila kwa anavyonishutuma mimi ni mzinzi, mara malaya , siaminiki...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom