Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za muda huu waheshimiwa Jana nimeona video clip inayomuonyesha Mwanaume aliyekatwa masikio baada ya kufumaniwa akizini na mke wa mtu ikisambaa kupitia mitandao ya kijamii, video clip hiyo...
24 Reactions
213 Replies
19K Views
Mike Oliver mzungu toka UK, ni mtalii aliyetembelea nchini Kenya tangu mwaka mmoja uliopita. Mpaka jana 24 August 2020 baharia amethibitisha kutembea na wanawake 300 huko Kenya. Ametoa...
7 Reactions
63 Replies
14K Views
My mood right now[emoji116] On the day that your mentality Decides to try to catch up with your biology Come 'round 'cause I want the one I can't have And it's driving me mad It's all over...
3 Reactions
91 Replies
5K Views
Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana. Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini...
38 Reactions
140 Replies
48K Views
Habari wana jf,nimekuwa na tabia ya kutongoza ovyoovyo kila mwanamke ninae muona mate hunindoka naomba nijue tabia hii ni mimi tu,au kuna wenzangu na wanaonizidi mimi, nawasilisha,mapovu sitaki...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi ni kijana age 20's nina ndoto ya kuja kuwa na familia yenye furaha,amani,upendo na kumtukuza mungu pia naamin mungu atafanya kweli juu ya tumaini langu hili Sina mke mchumba Wala mtoto ila...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamvini hodi!! Natumaini mko wazima na sherehe ya pasaka kwa wakristo Awali ya yote nimeona vyema kuuliza kiswali hiki Kwa nini wanaume tusiona Pete ya ndoa tunaogopewa sana kuliko wanaume...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Habarini , naamini kichwa kinajieleza. Kwa upande wangu katika vitu vinavyokera hiki ni kimoja wapo. Ushawahi kumpigia mtu simu( MTU wako wa karibu ) halafu akakuuliza we nani, na mlikuwa na...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwenda tezi na OMO. Kumekuwa na nyuzi nyingi za watu kulialia kuhusu kuliwa wake zao, wengine kwenda mbali zaidi kiasi cha kutoona umuhimu wa NDOA kwa yale wanayoyashuhuduia. Ni ukweli ulio wazi...
23 Reactions
210 Replies
22K Views
The family was at the dining table. The little 10-year-old girl wasn't eating and had her nose in her plate…. After a few moments, she said, “I’ve something to tell you people” Silence around...
11 Reactions
14 Replies
2K Views
ushauri baaazeee... ...Inakuwaje pale baada ya kusota madarasani vya kutosha, na kujipatia Qualifications nzuri, na a dream job inayokamilisha 95% ya matakwa ya maisha ikiwemo a dream car...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Wadau amani iwe kwenu. Nakumbuka kuna mada fulanifulani nilizowahi kuleta humu kuhusu mimi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwalimu wangu wa hesabu. Sasa ukweli wenyewe ni huu, Je ilikuwaje...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Wadau ni mkasa gani wa ajabu uliowahi kufanya wakati ukiwa bwax ambao hutokaa uusahau au ulikufanya uache pombe? Binafsi ilinitokea mikasa kadhaa ila ambao ctokaa niusahau ni siku ambayo nilikata...
14 Reactions
101 Replies
13K Views
Imemtokea mdogo wangu ukoo mmoja saivi anazidi kukonda tu: umri wa wote ni kati ya 21-27. Alimpenda dada mmoja 2018,mtoto wa kike nae alimpenda pia jamaa akawa serious nae na kutangaza kuishi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pamoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lakini bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Sina nia ya kukashfu wa kutukana kabila la mtu, ila hapa natoa mtazamo wangu mimi kama mtimawachi. Tukija kwenye baadhi ya vitabu vya dini vinakiri kabisa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Tumeaswa...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Yaani msichana anaweka x videos kwenye simu na mpo kwenye 6×6 anaanza kuangalia, alaf anachukua dushe, analiweka kwa juu anataka umsugue mpaka anapizi, then ndo na anakuwekea na wewe ili walau...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Mayalla na Mshana Jr (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS...
4 Reactions
9 Replies
887 Views
Ndugu zangu natanguliza salaam, Kwenye tembea tembea zangu kuna bint nimekutana nae nimevutiwa nae na nafikilia kumuoa bint wa kingindo mwenyeji wa kilwa na mimi ni mmanyema mwenyeji wa kigoma...
3 Reactions
66 Replies
16K Views
Hooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom