Eeh Mungu Mwenyezi, ninakushukuru kwa ajili ya Taifa langu zuri la Tanzania. Mwaka huu wa uchaguzi 2020 ninaomba ututetee, haki itamalaki katika Taifa letu. Tusaidie tupate viongozi wanaolipenda...
Wadau naomba msaada juu ya hili, maana kuna madada wengine wakiwa kwenye game huwa ni kero. Yaani unakuta mnaishi nyumba ya watu wengi alafu kila mtu na habari zake, huyu katoka shamba, gulioni...
Natumai hamjambo
Wakuu ndoa nyingi kwa sasa zinavunjika kwa sababu wanaume tumeshindwa kubadilika tukaendana na mfumo rasmi unaotawala jamii kwa sasa, jamii ya sasa inatawaliwa na mfumo wa haki...
Jana yamenikuta!
Nilienda zangu tips kuinjoi weekend baada ya uchovu wa kazi overtime.
Nikakutana na msichana mrembo haswa tukasimama meza moja tukaanza kula kilaji huku tukipiga story na...
Nina binti nilikuwa naye kwenye mahusino miaka 3 mpaka sasa, nilitarajia ndio awe mke wangu wa ndoa. Kinachonipa wasiwasi ni kuwa huyu binti mwaka huu amechaguliwa kusoma Chuo level ya Afya miaka...
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu...
Habari za wakati huu wanaJF.
Acha niende kwenye maada husika..! Niko kwenye mahusiano serious kabisa na mtoto wa Watu. Tayari nimeshatoa mahali kiasi (50%) panapo majaliwa nitapeleka tena kiasi...
Ilikuwa siku ya Jumamosi saa nne asubuhi nimefatana na mchepuko wangu tuition, kufika saa sita na nusu mchana tulitoka kila mtu na kuelekea kwao. Kufika jioni akataka nimfuate kwao mitaa ya...
Ni asubuhi nyingine, matumaini ni kuwa mmeamka salama.
Je, ni sahihi kumuacha mkeo kufanya biashara ya kusafiri kwenda mbali kufuata mzigo au bidhaa akiwa mwenyewe? Mfano, mke kusafiri kwenda...
Habari zenu wakuuu!
CCM oooyeee!!
Unajua juzi bana niligombana na shemeji yenu, ni binti tuu hajafikisha hata miaka 23, sasa tumegombana mimi nikapiga zangu kimya nayeye akajidai kama anakaza...
Habari wana JF wote.
Kumekuwa na michango mizuri sana ya kuelimisha kuhusu maisha yetu ya kila siku toka hapa JF. Lakini ni vema tunapochangia kuhusu wanawake tukawa na staha, kwa maana...
Wana MMU
Hivi unajiskiaje mwanaume kulipa mahari kwa ajili ya mwanamke asiye kigoli?
Thamani ya mwanamke ni seal. Kama hana seal alafu ukalipia seal ni sawa na kununua tumba kwa bei ya dukani...
Kuuza mechi kwa kigezo cha kuwa binti ni mpole, mkimya, mnyenyekevu, mlokole, ustadhat, hana makandokando ni kujitafutia kaburi la mapema.
Kuna siku utakuja kusikia anayoyafanya nyuma ya pazia...
Wale mliozaa na kusomesha mpaka watoto wamepata kazi na kuoa /olewa.
Sasa baba akapata uhamisho wa kikazi akahama mkoa, mke akamwachia nyumba na mtoto mmoja labda ila wengine wameshaoa.
Kwa...
Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute...
>Ni Sifa Zipi Nazotakiwa Kuwa Nazo Ili Nipate Mke Toka Zanzbar.!!
............
>Sambamba na Hil, Hebu Nionjesheni Sifa Zao Kulingana na Sehemu au Jamii Watokayo, Japo Najua Chache.
...
Twende moja kwa 1 kwenye mada maana kuna wateja wamenizunguka hapa!
Mtaani kwangu nina jirani yangu single mother, imekua na kawaida kila nikitoka kazini mtoto wake ananikimbilia huku anaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.