Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Unakuta ni familia yenye uwezo, lakini watoto wao wa kiume hawana uwezo wa kupata watoto. Katika maendeleo ya mwanadamu, kilichosabisha ustaarabu wa kuoana na kuanzisha familia ilikua ni...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Bandugu wa JamiiForums Nimeleta hili jambo limenitokea usiku huu hapa alichokifanya huyu rafiki yangu Mimi ni rafiki toka zamani tulipokutana chuo mwaka wa kwanza hadi sasa tupo mwaka wa pili...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Aiseee hali si shwari mtaani. Halafu wadau wamegundua kwamba hii kitu imekuwa kichocheo kikubwa cha mahusiano katika nyakati hizi za mwisho za dunia, bahati mbaya wake zetu vipenzi (most of...
3 Reactions
86 Replies
16K Views
Embu leo tutoe nafasi kwa wadada watuambie hapa wanapenda kuolewa na mwanaume wa namna gani. Mimi nafuatilia hapa
4 Reactions
78 Replies
5K Views
Habari wana jammvi, naanza scenario maelezo yatafuata chini; Scenario No. 1 Kuna baadhi ya familia kuanzia baba hadi watoto kwa ajili ya kuogopa au usumbufu wa kuamka usiku kwenda kujisaidia...
13 Reactions
256 Replies
22K Views
Leo nipo na wanawake, kwanini mwanamke uachike au usalitiwe, zingatia vitu hivi: *USAFI *EPUKA GUBU *TENDO LA NDOWA/DEKEZA Nikianza na Usafi hakuna asiye juwa mwanaume anataka mkewe awe msafi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni takribani miaka 6 sasa tangu nianze kudadisi na kutafiti juu ya wimbi la kujichua maarufu kama Punyeto kwa Wanawake na Wanaume. Mwishoni mwa mwezi October mwaka jana nimehitimisha utafiti huo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
I have come to an agreement with this thought. Let me explain. Kwanza kabisa I am not talking about sex. I am talking about love as it is - Love. Not love making. LOVE as Love. Tunaumizwa sana...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Miaka 25-35 ni kipindi kigumu sana kwa kijana wa kiume. Ndio mambo mengi yapo hapo. Maisha na mapenzi. Ndio kipindi ambacho hata mwili unahitaji zaidi na unaweza kumudu vizuri tendo la...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
MWANAUME NI NANI KATIKA JAMII? o Mwanaume ni kiongozi wa familia o Mwanaume ni mlinzi wa mwanamke pamoja na familia o Mwanaume ni mfano wa kuigwa na jamii o Mwanaume ni mrithi wa Mungu...
4 Reactions
6 Replies
39K Views
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kifungu cha 9, kinatoa tafsiri ya ndoa kuwa ni muunganiko wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Ndoa ni...
10 Reactions
34 Replies
20K Views
Umepata kusikia Kalenda ya uzazi ya Kichina? Kuna watu wamejaribu kuitazama ina kaukweli, Wachina noma! Chinese Birth Calendar Predict Your Babies Gender...
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Bwana Bwana Bwana acheni.... Wahenga wanasema hakuna mkate mgum kwenye chai, na kila kubwa na kubwa yake..... Nawasilim wakuu , Two weeks ago nileleta uzi wangu bout how hard imekua kwangu kuweza...
14 Reactions
56 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye bandiko Ukaribu na marafiki Ndugu katika karnee hi umebadilika hasa pale unapowazidii kdg kimaishaa unawaona watu wema kwako unajaribu ku'share nao mambo yako lakini mwisho...
11 Reactions
48 Replies
4K Views
Baba angu ana wake watatu wawili aliwaacha wa tatu ndo mama angu! Mke wa kwanza watatoto wiwili mke wa pili mmoja nazani baba alichepuka maana ni mkubwa kuliko mtoto wa pili wa mke wa kwanza, na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna jambo binafsi nimekuwa siliamini sana kama lipo, labda sababu kuona ni kuamini. Kuna 'sista' wangu mmoja leo ame-share nami kitu kilichonishangaza kidogo, wenye ndoa wenzangu labda mnaweza...
21 Reactions
115 Replies
15K Views
Maishani kuna mengi ya kukumbukwa, ila kuna mengine ya kukumbukwa zaidi. Hii ni kutokana na uzito wake Mke wa mtu sumu Dada huyu alikuwa na duka jirani na ambapo nilikuwa naishi. SIkuwa na...
12 Reactions
67 Replies
12K Views
Mwenzenu nakuwa mnyonge sana nakosa raha sijiamini hata kidogo,akiniona nitamsalimia kinafiki asiponiona nitajikausha,hata nikifika nyumbani wife atajua tu kuwa siko sawa. Ila nikionana na...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna mtu unaweza ukakaa nae ukamsikia anakwambia bila uoga na hofu (mimi nilikua mmoja wao katika hao watu) utamsikia anakwambia Mimi unavyoniona hapa sina rafiki/marafiki yani rafiki yangu ni...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekuwa tamaduni kijana akipata kazi anakimbilia kuoa huku kiuchumi hajajipanga vizuli siku akiachishwa kazi anaanza kuhaha familia ataiendesha vipi wengine kazi ikishapotea ndoa inaanza mgogoro...
0 Reactions
6 Replies
765 Views
Back
Top Bottom