Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu habari, Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'...
26 Reactions
621 Replies
36K Views
Wakuu Naomba nisamaraizi Nilioa mwaka jana kutokana na shinikizo la wazazi, nilikua na wasichana wawili ambao niliwatambulisha kwa wazazi Mmoja alikua ni jirani yetu alikua anajulikana tabia...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
KWA MARA NYINGINE TENA NIKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUIJAZA DUNIA LEO KATIKA KIJIJI CHETU X TULIKUWA NA MKUTANO WA KIJIJI KUJALI MAMBO YA MAENDELEO YA KIJIJI CHETU,BASI WANAKIJIJI TUKAWA TUNATOA...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, Kama umefanya mapenzi siku ya leo sema neno hapa, ilikuaje? Ume enjoy? Ulikutanaje nae? Yeah kila siku ni leo.. Hivyo kila leo ukila tunda pitia hapa utuambie neo. Mimi leo nilikua na...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni mdada above 40 niliolewa nikaachana na mwenzangu some years ago. Kwa vile nilikua busy kusomesha watoto zangu watatu ambao sasa wameweza kujitegemea, sikutaka kua na uhusiano wa kimapenzi...
17 Reactions
198 Replies
18K Views
Habar za majukum wakuu na wapendwa wa JF? Nimekuwa na wakati mgumu sana wa kutoa maamuzi juu ya kisa hichi kilichonitokea ni Week ya tatu sasa ipo km ifuatavyo. Imetokea kumpenda binti mmoja ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
WanaJF, naamini mko salama. Hata yule anayeamini hayuko salama nadhani ugumu ni namna tu anavyotafsiri mambo na si mambo yalivyo. Kutokana na upungufu wa mashangazi, ma mdogo na wazee wa kuweka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana nimeamka asubuhi nikatafakari kwa kina sana juu ya maisha haya. Kubwa zaidi ni namna aliyewahi kuwa mpnz wangu aliponishambulia sana kuwa nimempa pesa kidogo,(aliniomba 150,000/= lakini mimi...
69 Reactions
317 Replies
23K Views
Ndugu zangu ni kitambo sana sijaweka neno hapa, nimekuwa nikisoma yanayoendelea kutukumba binadamu sisi kwenye maisha yetu ya kila siku. Kwa mara ya mwisho niliweka uzi wangu hapa, baada ya mpenzi...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
  • Closed
Mara ya kwanza niliona umechangia uzi fulani back in 2014, nilikua mgeni hapa JF ila i can't tell how i felt about you nakuadmire secretly, since then, i promised myself to love you with all my...
23 Reactions
1K Replies
43K Views
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan...
21 Reactions
214 Replies
19K Views
Ni miaka 5 sasa tangu tutengane lakini bado nakupenda na nakukumbuka sana. Mapenzi yangu kwako hayajawahi kuisha na kwamwe hayatoisha kwasababu nakupenda kwa dhati toka uvungu wa moyo wangu. Mi...
14 Reactions
98 Replies
12K Views
Habari Wakuu, Je, ni Vyema kumuoa mtu mliyefahamiana kwa muda mrefu mfano mmesoma wote chuo au ambaye mmefahamiana kwa kipindi kifupi? Ni uhusiano upi una nafasi kubwa ya kudumu?
0 Reactions
8 Replies
853 Views
nakumbuka kuna manzi wangu mmoja miaka ya 2016 tulikuwa tunapendana sana ila nilivyoona 1.kila siku asubuhi mimi ndio naanzisha good morning na nisipoanzisha mpka inafika saa 5 mchana...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Miezi miwili imepita Toka nimesafiri kwenda Dar kibiashara, siti niliuokaa alikuja kukaa jimama la Kihaya zuri la kiwango Cha mwendo kasi, ikabidi tuanze kufahamiana aliniambia ye ni...
37 Reactions
82 Replies
10K Views
Ikiwa mtu anajua fika kuwa huyo mwanaume anamtaka, kisha akampa namba, binafsi naichukulia kama nia ya wazi ya kusaliti in the near future Je kumpiga chini ni uamuzi wa kukurupuka? Moja ya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimefanya utafiti wa wanawake nimegundua mwanamke mwenye mapaja manene ni mtamu kuliko mwenye mapaja membamba yani akipanua ili uingie mizuka inapanda kwa kasi ya mwanga kuliko mwanamke mwembamba...
18 Reactions
215 Replies
63K Views
Habarini ndugu zangu. Leo nimeamua kuja na hoja kama title yenyewe inavyoonesha. Nimekuwa nikiishi na vijana wengi sana ambao umri wao hauzid miaka 28. Lakini cha kushangaza kuna wamama ambao...
3 Reactions
85 Replies
10K Views
Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua asilimia kubwa ya ndoa zinazodumu ni zile ambazo kijana ametaftiwa mke na wazazi wake na yye akaridhia hilo Kijana wa leo haoni kuvunja ndoa kama ni...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wakuu! Hivi majuzi nilipata bahati ya kukutana na mrembo wa chuo cha NIT mwaka wa pili, haka kabinti kana weusi wa kuteleza, macho makubwa kiasi na nyusi nyingi, kiasili ni Mhaya...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom