Mafuta ya misk
Mnyama AL GHAZALI
FAIDA ZA MNYAMA AL GHAZALI:
1.Faida ya kwanza ya mnyama huyu ni nyama
2.Faida ya pili hutoa mafuta ya misk
Sasa basi leo tutazungumzia juu ya faida na...
Kama unaishi na mdogo wako wa kike au wa kiume nyumbani kwako kuwa makini sana naye, usimuamini kwa 100% siku hizi kutembea na mashemeji imekuwa kama fashion
Tena hawa mabinti ndio hatari...
Kuna binti katokea kunipenda tena sana na tayari anamtoto mmoja lengo la huyo binti anataka mwaka kesho tuwe mke na mume utofauti we2 kwenye umri ni mwaka mmoja.
Miezi miwili iliyopita nilipelekwa polisi na wazazi wa mke wangu, kwa kosa la kumpiga binti yao karibu nimuue, ndugu walikuja kunitoa
Iko hivi;
Huyu binti nilimuoa miaka miwili iliyopita na tuna...
Mwanaume anacheat sababu ya sex ila mwanamke anacheat sababu ya upendo!anacheat na mtu anaempenda!! anacheat kwa mapendo, anacheat sababu anampenda huyo anaecheat nae!! Women cheat for love and...
Nilimuokotea kituoni.........
Naomba nikiri kwamba katika mbilinge zangu za kuwania mabinti ujanani nilipata misukosuko mingi sana kiasi kwamba kila nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe. Namuomba...
Usaliti kwenye ndoa imekuwa kitu cha kawaida mno, Wapo wengi mno wamepangishia vimada chumba, au nyumba nzima sasa hufikia penzi likanoga mpaka watu wakataliki wale zao au waume zao wa ndoa ili...
Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne.
Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada...
Wakuu nimeanza mahusiano na binti wa Kihaya amehitimu mwaka Jana MUHAS - Doctor of Medicine (MD)
Sasa anatafuta ajira ila nilipofikisha taarifa home kuwa nataka tupeleke mahari kwao. Wazazi...
Wana-JF,Naingia hapa jamvini kama mdau mchanga sana,Kwenu naomba ushauri wa janga hili;Shoga yake na wife ambaye ni jirani yetu hapa maskani alinikamata mguu miaka kama mitatu imepita...
Najua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,
Nistori ndefu lakn nafupisha,
Ipo hivi mm nimeoa mke nilimkuta single mother, mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa...
Nimeshuka kutoka ktk DalaDala ili niende zangu kwa Anko maeneo ya Masaki .
Nilipo kuwa njiani nikaona gari aina ya mercedes benz likapaki pale nje, nilipokuwa bado nashangaa uzuri wa gari lile...
Habari wakuu,
Naona wiki hii ni single mother tuu, jamani wadada wote mliozaa nyumbani au hata kuachika, usikubali eti mwanaume aje akuoe ambae hana mbele wala nyumba au kifupi hawezi kumudu...
Au afe....!!!
Tunamaliza mwaka bado siku chache sana.... Wengi tumepoteza wapendwa wetu... Watu ambao tusingetamani wafe, mimi ni mmojawapo... Mtu aliyekuwa priority katika maisha yangu...
Unajiita super woman wakati hata ndoa bado huijui na wala hujui utaolewa lini. Kazi yako kukaa mitaani kila mwanamme anaekupigia miuzi unamfuata na kuzaa nae mitoto ya nje ya ndoa. Dadangu wewe ni...
Wakuu nimala kadhaa huyu dogo amekua akiniomba hela kitendo kinachofanya nifikirie pengine mume wake hamjari au vipi
Pia ukiangalia mume wake anapata mshahara mzuri tu mwisho wa mwezi na...
Akili itakwambia mwanamke wa kuoa ni lazima awe mcha Mungu maana mwanamke mcha Mungu ana mambo mengi ndani yake!heshima,uaminifu,ukarimu n.k
Kisha moyo unakuja kupenda mwanamke wa club, mlevi...
Ni kipi kinachosababisha wazazi kuwachukia watoto?
Kuna jirani yangu ana mtoto mdogo, Kama mwaka mmoja na miezi michache, mtoto hupigwa, huteswa, husimangwa yaani ni mateso.
Akiona mama yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.