Poleni na majukumu ya kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye story.
Kulikuwa na mdada anaitwa Pendo na mwanaume alikuwa anaitwa Festo. Hawa watu walikuwa ni wachumba, baadaye taratibu zikafuata...
Katika dunia ya kileo wanawake (sio wote) wamekua wakijitunisha misuli dhidi ya wanaume kwa kusaka nafasi za upendeleo ili waweze kuwa katia sector za kuajiriwa na kupata fedha kama wanaume...
Umri wangu ni miaka 34 kwa sasa, Nina kazi as mwalimu, nafanya biashara na kilimo sana, nina nyumba zangu nilizojenga na nyingine za urithi, Nina mtoto mmoja namhudumia, mzazi mwenzangu...
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu...
Mambo vipi wakuu!
Mimi ni kijana 26 aged ni mwembamba nina uzito 51kg, kuna kitu kinanitokea najikuta sielewi kabisa ufumbuzi wake naombeni ushauri wenu.
Mimi sijaoa ila nina demu wangu ambaye...
Kuna kademu kazuri msomali sio msomali,mnyarwanda sio mnyarwanda kama vile kaethopia Fulani hivi matata!
Sasa mtoto bado mbichi kabisa kanichengachenga kama maradona!
Sasa nataka nitangaze ndoa...
Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo...
Wadau kuna siku nipo nafanya service garage fulani mara na baba mkwe naye akatia team amekuja fanya garage hapo hapo. Wametengeneza mara kuna spare inahitajika na amepungukiwa 190,000.
Akanambia...
Ee bhana nikiri ukweli tu hapa naona kila dalili za kugongewa!
Huyu dem nilikutana nae Kilakala Sekondary kipindi nikiwa kidato cha Nne na yeye akiwa kidato cha nne Bythat time nilikua Seminary...
Hiki kipindi cha Karantini tunashudia mengi jamani. Huko Italia kuna mwanaume mwenye asili ya Afrika amepiga simu polisi kuomba msaada wa kuondolewa nyumbani ili amuepuke mpenzi wake mwenye uraibu...
Nilianza kukutongoza miaka miwili iliyopita tukiwa collage na hatimaye ukanikubalia tukaanza mahusiano yetutena kwa furaha ya ajabu.
Tangu niwe na wewe nilikuwa sijui uchungu wakutendwa...
Wakuu ni rafiki yangu wa karibu sana mwaka wa tatu anaishi na mke wake ambaye yeye anadai alimuoa tu kutokana na kwamba akiwa single aliwahi kutoka na huyo binti na hatimaye akapata ujauzito...
Salaam wakuu,
Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS...
Hii ndiyo observation yangu
1.mademu wenye umri 19-24 kama mmependana bas ni kwel anakua amekupenda mara nying hawa mnakutana chuo.no vizinga,wote mnakula boom.anakupenda ulivyo.huyu hata...
Ukiona mwanamke yeyote amekuacha na badala a move on na mtu mpya amemrudia ex wake ujue ni kwamba wewe umeshindwa kuvunja rekodi aliyoweka Ex wake.
Maisha atayafurahia sana endapo utaweka sehemu...
Ndoa nyingi zimekuwa zikikumbana na misukosuko mingi ambayo wakati mwingine huwa ni mateso makubwa,wakati mwingine hupelekea kuvunjika au kudhalilika katika jamii.
LEO nitamzungumzia...
Kuna mazuzu wanadhani akimtongoza mwanamke kwa kumponda jamaa yake kwamba hafai basi yeye itakuwa ni rahisi yeye kumpata mwanamke huyo! Hapo itakuwa ni rahisi sana mtongozaji kupigwa chini na...
Wakubwa wanafaidi!
Ni nadra sana kukuta wanandoa wakichat kwa meseji muda mwingi, kwa kile wanachokiita ndoa yenye heshima basi hutumiana jumbe nyeti tu au maelekezo ya majukumu yao.
Wakati huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.