Habari wana MMU.
Mchawi sio pesa. Katika mazingira yeyote yale wale wanapenda kupelekewa moto. Haijalishi una pesa au hauna, wewe peleka moto.
Ukitaka kupoteza pesa zako basi puuzia suala la...
Tafiti nyingi za kisayansi zimefanyika na zingine zinaendelea kufanyika.
Kwa sasa kuna uwezekano mkubwa sana wa kujua idadi ya wanaume walioshiriki ngono na mwanamke.
Mwanamke anaposhiriki ngono...
Dunia ya Sasa imejaa ufitini rafiki kawa adui hakuna wa kumuamini kweli kikulacho ki nguoni mwako maendeleo yako rafiki anakasirika mtu unampa Siri yeye anazivujisha kwa maslahi yake akati...
Wakuu,
Nimeona leo nichangamshe jamvi kwa kuomba tujadili nini cha kufanya pale ambapo mwanaume unakua umepata mtoto... we usually get very excited when our loved ones are expecting and we get...
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania,
Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama Mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la leo kwakweli nahisi...
Naomba kujuzwa mume anaweza kukaa mda gani bila ya tendo la ndoa?na je unaeza pima kama ni kweli kaakaa mda mrefu kwa kuangalia wingi au uchache wa sperm?
A friend of mine ameolewa na anampenda...
Tangu ijumaa tarehe 15 January 2021 imekua siku mbaya sana kwa bwana Abdul Jamaa aliyekua akijulikana kama baba Nasibu au Mzee Dangote.
Hii issue ya mzee Abdul itapita lakini sisi kama jamii tuna...
Katika kuonesha mahubati kidume nikajikamua nikamnunulia perfume kali na dawa moja ya mswaki nikafunga kwenye kibox maalumu siku yake ya kuzaliwa, cha ajabu nimeambulia mijitusi eti ile zawadi...
Safari ya mwanadamu inaanzia tumboni mwa mama yake. Hakuna anaeomba mama atakaemzaa, unajikuta uko kwenye familia. Inaweza kuwa duni au tajiri. Kituo cha kwanza cha maisha kinaanzia kwenye...
Wana jf wenzangu hebu njooni tulimalize hili tatizo na deep thinker na wenye uzoefu mahusiano au ndoa.
Kuhusu huu mjadala wa kujifanya mjinga katika mahusiano ili kulinda mahusiano yako au kwa...
Habari ndugu wana JF. Kwa muda sasa najisikia hisia za kudhuru watu kiasi kwamba nikipata hisia hiO nakuwa na raha fulani akilini . Hadi sasa nimesha muua mbwa wangu kwa kumpiga na gogo la mti...
wakuu polen kwa msiba
huyu binti nimefahamiana nae kama mwiez miwil nyuma na sasa tumekuw wapenzi
ana kazi (ni muajiriwa) mi mfanyabiashara kwa hyo huwa tunakutana mara nying weekend au nyakat...
Ndugu zangu wanaume leo nataka niwamegee siri kidogo juu ya hawa dada zetu kma ulikua hujui sasa ndo uache uzezeta.
Ukiwa na mwnamke ambae anakusikiliza sana yani hakubishii mtii, ukimwita any...
Habari wadau ?
Tupeane pole kwa msiba mzito.. ila maisha lazima yaendelee
Leo tumepata Rais mpya mama yetu Samia
Katika pita pita za mtandaoni nimesoma ma Rais wanawake waliowahi kuongoza nchi...
Nilikuwa naisiki tu, kwamba hii dawa ya mitishamba maarufu kwa jina la "Ndele" inakuwezesha kumpata msichana bila kumtongoza.Baada ya mshikaji wangu ambaye pia ni jirani yangu kuwa anawalamba...
Salaam!
Je wewe ni mwanamume?
Je umewahi kupendwa na mwanamke kiasi kwamba hadi anakuhonga pesa umkubalie kimapenzi?
Embu tuambie ilikua kuaje.
Binafsi mimi sijawahi kuhongwa na mwanamke...
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.
Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi...
Habari ndugu.
Natumaini u mzma kwa uweza wa Mungu, leo nimeona nikupe kisa hiki
Nakumbuka siku moja nikiwa na jamaa yangu. Sasa jamaa yeye alikua hawafatilii wanawake lakini wanawake walikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.