Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mapenzi yana nguvu sana.Humfanya mtu apoteze uwezo mzuri wa kufikiri. Kipindi namchumbia mke wangu alipata upinzani kutoka kwa wazazi wake kwa sababu tuko makabila tofauti. Lakini alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
British woman facing jail after allegedly having sex on Dubai beach Rosalind Ryan and agencies guardian.co.uk, Wednesday July 9, 2008 A British woman could be jailed for up to six years...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa. Noamba...
6 Reactions
193 Replies
43K Views
Habari, naomba niwaletee simulizi ya kitabu chenye Mafunzo mazuri sana. Ni cha kiingereza kinachoitwa “Things I wish i’ known before we got Married, limeandikwa na Gary Chapman. Nimefanya tafsiri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Haya mambo ya miaka hii yanatisha, wasiwasi wa kifo unazidi kutanda vijana wa zama zetu. Ni ngumu kutoboa miaka 50 sababu ya corona, malaria, kansa, STD'S, upungufu wa nguvu za kiume, umaskini...
14 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwanini uliamua kuachana na mshikaji/rafiki/swahiba/shost ako baada ya urafiki wenu Kwaninu uliamua kuachana na huyo msela wako au huyo mshikaji wako au huyo rafiki au huyo shoga yako au huyo...
6 Reactions
46 Replies
6K Views
Hivi mtu utajuaje kama hapa nilipo nipo katika mahusiano sahihi au sio sahihi hapa nilipo ili mtu ujitambue mapema? Hebu tusadieni katika hili
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Huu utafiti nimeufanya nimeamini Ni kweli kabisa yaani week yote hii niliamua kuokoa nikawa naomba Sana MUNGU Ila jamani naelekea kushindwa leo nimetamani mabinti wawili na nikajikuta naongea nao...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wanajf wakubwa na vijana,itifaki imezingatiwa Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada: Nimeamini kwamba mtu kuwa na pesa sio:- -kupendwa -kuwa na furaha -kutokuwa na msongo wa mawazo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wasaalam ! Tupo kwenye kipindi cha majonzi tunachopaswa ni kumshukuru mungu kwa kila jamboo . Nije kwenye mada najiuliza maswali mengi sipati majibu . Kwanini mwanaume akimalizaa tu kufanya...
24 Reactions
1K Replies
106K Views
Mwaka juzi nlipata changamoto kidogo kwenye usafiri.gari moja nliuza nyingine ikawa imepata tatizo ikabidi kuagiza spare nje so ikawa garage tu inasubiri spare. Basi nikawa napanda daladala...
120 Reactions
195 Replies
27K Views
Linapokuja swala la kuachwa au mtu wa kukuacha kuna staili mbili 1. Kuna mtu anakuacha kimya kimya bila kukwambia sikutaki Watu wa aina hii yeye anakuoneshea vitendo visa vitakavyo kufanya wewe...
13 Reactions
36 Replies
41K Views
Kwanza kabisa niseme tu hii dawa haina majini wala mapepo kama wengi wanavyofikiria, Hizi dawa sikuhizi waweza kuta hakuna anaezijua zaidi ya watoto wa machifu milimani. Ni dawa ya kiasili...
2 Reactions
18 Replies
46K Views
Asalaaaam wakuu. Naomba kuwashirikisha hili kama ilishakutokea au uliwahi kusikia n.k. Sihitaji kuzama sana kitaaluma lakini hili jambo laweza kuwa geni au uliwahi kujua ama lah but ni issue...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Na Sandra Bernard [emoji175]UKIWA NA MAMBO HAYA MUMEO ATAKUPENDA SANAA[emoji175] Ni sifa 7 ambazo mwanamke‎ anatakiwa kujipamba nazo ili azidi kumteka mwanaume, hasa mume anayejitambua... Ni...
3 Reactions
30 Replies
11K Views
Friendship is a relationship of mutual affection between people. It is a stronger form of interpersonal bond than an association, and has been studied in various academic fields such as...
1 Reactions
1 Replies
468 Views
I'm ready to begin to offer suggestion to my kindred ladies now since I sense like greatest young ladies get into relationships and afterward they experience like they have committed the most...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
MEN SHOULD PREPARE THEMSELVES TO HANDLE WOMEN WHO ARE OVER 40 When some Women turn 40 or 50 years, something major shifts in their personality. They become bolder, more rebellious, more...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za majukumu members, ngoja nielekee moja kwa moja kwenye kisa husika. Nimepanga chumba hapa moro, vyumba viwili vinavyofuata baada ya chumba changu ni vya mshikaji wangu ambaye ni mtoto wa...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Sikuizi mapenzi ni kusomana sana tena kwa umakini wa hali ya juu, unaweza mpeleka mpenzi wenu kwenu akakuta mambo sivyo na alivyo kuwa anategemea so tarajia atabadilika mana mategemeo yake ni...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom