Hope mko poa kabisa, ngoja niende kwenye mada.
Imani niliyonayo ni kwamba Mungu hakupi vyote na kati vitu nilivyobalikiwa ni uzuri wa sura na upole na kitu ninachofahamu kabisa nimenyimwa ni...
Vijana wenzangu,,, kiukweli hawa mademu wa staili hii wananiboa saaaaaaaana, binafsi napendaga demu natongoza kisha mtongozo wote unaeleweka hapohapo, ila utawakuta hawa wengine mara subiri...
Kwenye mada husika.
Nimebaini watu wengi maskini ndoa zao ziko happy na wanadumu kwenye mahusiano hadi kufa na kuzikana hususani Vijijini.
Ukija kwa wenye kipato cha nafuu hususani mjini...
Mwanaume huyu toka jamii kutoka Ndola aliamua kumuacha mke wake waliyeoana miaka saba iliyopita na kufanikiwa kupata watoto wawili. Mwanamke huyu alienda mahakamani ilikutafuta suluhu ya ndoa yake...
Natumai mu wazima kabisa humu . huku kimvua tu nje kinapiga cha wastani.
Tena hichi kimvua ndo kimenipa mawazo kabisa yan.Aisee Leo zinatimia wiki mbili naona kama tumeliana buyu na mama mtu...
Wakuu habarini.
Wahenga wa kizungu waliwahi sema 'practice makes perfect'...yaani vile unavyolifanya jambo fulani mara kwa mara ndivyo unavyo imarika na kulimudu.
Mtakubaliana nami kwamba...
Leo ikiwa ni wikend tushirikishane baadhi ya visa vya fumanizi tulivyowahi shuhudia au vilivyotutokea sisi binafsi ili tupate funzo.
Binafsi nina visa vitano tofauti nilivyovishuhudia.
Kisa cha...
Habari watu wa Mungu!
Wakuu, kuna manzi miaka kadhaa nyuma aliwahi kunilaza lock up kisa nilimlabua makofi.
Iko hivi, alikuwa ni mpenzi wangu, so ikatokea tukakwaruzana mimi nikamchapa makofi...
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?
Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera...
Katika relationships watu hujifunza mambo mengi sana, yanaweza yakawa mazuri au mabaya. So kama kichwa cha mada kinavosema, what lessons did you learn from your past or last relationship?
Lets...
Habari za wakati huu poleni na majukumu na misiba tunayoipata ndugu zangu.
Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu kuhusu ili swala la mke wangu kujiona mbaya asie na uzuri wowote hali...
Habari za usiku huu,
Rejea kichwa cha habari, leo hakuna mahaba. Lengo la uzi huu ni kuwapa faraja wanaume wote hasa wale ambao wanapitia kipindi kigumu kwenye maisha yao. Najua kuna wanaume...
Kwetu tumezaliwa watano,wa kike wawili na wa kiume watatu na mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa.
Katika kukua nilijikuta nikivutiwa kimapezi na mdogo wangu wa mwisho wa kike ambae tumepishana miaka...
Tuliowahi kuishi kwa mashemeji wakike au wakiume tuweke visa vyao hapa,
Binafsi.
Kabla ya kuanza kuchakata viazi kuwa chipsi nilikuwa naishi kwa bro wangu mtoto wa mama mkubwa ambae tayari...
JE UNAWEZAJE KUJINASUA KWENYE PENZI LINALO KUNYIMA USINGIZI🤷🏽♂
Ni kweli MOYO ukipenda unakuwa umependa but MATESO yanapozidi MOYO huo huo ndo wenye kuamua kuendelea ama kuacha, Kwanza kabisa...
1.Mwanamke ambae katika mahusiano anataka yeye awe ndio final say.
2.Mwanamke anajali mambo yake kuliko uhusiano wake na wewe.
3.Mwanamke ambae akiwa nacho ni mgumu kukusaidia hata kidogo...
Kuna hizi pisi nimezikumbuka mpaka nikasema, jamani kuna wanawake wanaroho nzuri.
Ukweli sisi wanaume hamna kitu tunapenda kama unakutana na mwanamke halafu unamuomba game siku hiyo hiyo anakupa...
Wana jamvuni salaam,
Katika pitapita yangu nilibahatika kupata mtoto na binti wa kisukuma, kwa mujibu wa maelezo yake alidai kuwa ujauzito wa huyo mtoto mi ndo muhusika sikuweza kataa kwa sababu...
Hii imenifikirisha sana!
Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.
But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela...
☰
All human beings need that love of a lifetime, however, exercise indicates that this type of situation is an uncommon exception to a harsh truth. In Europe, human beings have commenced getting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.