Habari za mida hii wana JF wote, natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa nchi yetu lakini mkichukua tahadhari zote zinazohusiana na Covid 19.
Nije kwenye mada, leo nimepokea sms kutoka kwa...
Habar wakubwa nimefanya utafit wangu mdogo kwa kuzingatia past life experiance nimebain kwamba mabint wengi wamezalishwa mtoto mmoja bila kuolewa wengi wamepanga wengine wanaish kwao tena wako so...
Imekuwa kama ni ndoto kwangu hatimaye Yule mwanamke niliempenda na nikiamini atakuja kuwa wife material hatimaye leo asubuhi ameniacha.
Amenipigia simu akiniambia nina maongezi na wewe kama uko...
Habari.
Kuna mambo ya ajabu sana kwenye jamii zetu na kila kukicha yanazidi kutokea na kuna siku yataonekana ya kawaida.
Mada inaweza kuwa na uzi wenye maneno yasiyofaa ila ndio maneno ambayo...
Habari zenu!
Mimi ni mwanachuo wa UDOM mwaka wa kwanza pia nina mpenzi/mchumba wangu anaesoma st john mwaka wa pili , mim nasoma BA.education au wengi huita BAED lakin mwenzangu anasoma Advanced...
Wekeza hela zako kwa ajili ya future wife wako na watoto wako..
Kama zinakuwasha na unataka kuzitoa basi wape wazazi wako, ndugu zako au hata majirani zako..
Sio kumpa binti kisa eti ni mzuri...
Kuna Umri fulani ukifika, kama kijana ni vyema utafute binti mmoja mtengeneze chemistry yenu, mjengane kimaisha katika misingi ya uwazi, ukweli, na uhalisia siku moja mje kuoana.
Ni hatari kwa...
Karibuni mnisaidie ushauri maana nipo njia panda....
Mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato cha nne kijijini katika shule moja ya kata huko kanda ya ziwa, nilipata mwaliko kutoka kwa baba yangu...
MISTARI KUHUSU NDOA...
1. WAEFESO 5.28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na...
Baadhi ya wanawake wasiokuwa waaminifu hutumia ili kujihami pindi linapotokea la kutokea.
Mbinu wanayotumia ni kufanya screenshoot baadhi ya conversation pindi anapotongozwa na baadhi ya wanaume...
Habari wana JF, natumaini mu wazima wa afya. Binafsi nimekuwa nikitafakari sana jambo hili, nimekuwa nikisikiliza friend zangu walioko kwenye mahusiano na wapenzi wao, wakiongea kwa kujisifu...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoelezea, huyu msichana ni mrembo, na nmemkuta mrembo, mwanzoni ilkua kawaida na alikua hawezi kuomba kitu chochote, mpaka umuulize hadi nkawa...
Kutopata wananamme wa kuoa Hili ni lalamiko la wanawake wengi, hapa iwe ulikuwa unatembea na mume wa mtu au la. Unapoachana na mtu uliyedumu naye kwa muda mrefu, au unapomaliza utoto wanawake...
Tunapata picha tofauti kabisa kwa hawa wanawake wa JF, ambao kati yao ni mama zetu, bibi zetu dada zetu na hata wadogo zetu... Ni wa kawaida kabisa walipo popote ofisini mitaani majumbani na...
Wakuu naombeni ushauri, mpenzi ananilalamikia umri wake umeenda sana mpaka sasa hana mtoto hana familia hajaolewa hivyo anahitaji tutengeneze familia na pia nijiandae swala la ndoa
Nikijiangalia...
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka...
Jaji mmoja anasimulia kuhusu tukio moja la wanandoa waliotaka kuachana. Mke ndiye aliyetaka talaka.
Katika kikao cha kwanza, jaji alisogeza mbele siku ya kutoa hukumu ili kuwapa fursa wahusika ya...
Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 🙁🙁 (May their little souls Rest in Heaven 👼👼)
Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni...
Kismati ni bahati....ni kung'arishwa kwa nyota...ukiwa na kismari unakuwa na bahati kila unachogusa kinakuja sharp kwa haraka...hukazi msuli hupati shida kama wengine ....hutumii nguvu nyingi
Jini...
Inshort ndug zangu, nimeoa na nina watoto wawili ila kiukweli tangia nianze kuishi na mwanamke huyu mwaka 2015 kumekuwa na ugomvi wa hapa na pale.
Mwanzo chanzo ulikuwa ni madeni ambayo mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.