Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habarini wana MMU, Leo nimeamua kushare kitu nanyi juu ya mahusiano yangu ambayo nipo proud sana kuwa nayo. Nipo kwenye mahusiano takribani miaka saba sasa binti niliyenae nimuelewa sana sana...
21 Reactions
316 Replies
18K Views
Shwari!! Nimekuja mwanza nipo Nyegezi hapa kuna Hotel Moja inaitwa Kumalija Hotel!! Any lady free kesho nicheki sio mbaya kufahamiana!! PM me!!
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za majukumu wana-MMU. Kwa ufupi nipo kwenye mahusiano na binti takribani miezi 5 sasa. Mwanzo mapenzi yalikua mazuri na tulipendana sana na nilijitahidi kutimiza kile alichohitaji kadri ya...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
mimi ni kijana wa miaka 27. nmekuja maswa kwa shuguli zangu ndogondogo bahati nzur nkapata chumba kwenye mji mmoja. kuna binti nimemwona hapa nkavutiwa kumuoa maana ana maadili mazuri na ametulia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni jambo lakusikitisha sana pamoja na majukumu mengi anayopitia wife kagoma kabisa mimi au yeye kutafuta dada msaidizi wa kazi za nyumbani.. Nikimuuliza kwanini hataki hatoi majibu yakueleweka...
21 Reactions
191 Replies
10K Views
Habari Zenu Wakuu; Nipo Katikati Hali Fulani Ngumu Sana, Nimeliweka Hili Ila Sasa Nimeshindwa, Nahitaji Msaada, Tena Mkubwa Sana, Maelezo Yangu Ni Marefu Ila Naomba Soma Na Nishauri. Nipo Kwenye...
16 Reactions
258 Replies
18K Views
Nlikuwa nadhani utani huyu dada alipokuwa akinambia mara baada ya kunikuta nmekaa sehemu car wash. Pembeni naendelea kupata kinywaji taratibu. Alinifuata dada mrembo sana na kunisalimia. Tukaongea...
5 Reactions
254 Replies
62K Views
Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi. Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na...
36 Reactions
167 Replies
17K Views
Wanaume wanalia, nyumba chungu haikaliki, hawakupigi (Ni wachache ndio hupiga wanaume) lakini cha mtema kuni hukiona. Wananyumwa unyumba, wananuniwa, wanasimangwa, wanafyonzwa, wanajibiwa majibu...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wakuu Huu mwaka umeanza vibaya sana kwa upande kwangu,Jana nimedhalilishwa sana, tena mbele ya mwanamke ambaye nampenda sana, am swimming in a pool of emotions hapa,pombe ndo...
27 Reactions
143 Replies
15K Views
Kuna Jirani yangu bwana mke wake ni Rafiki yangu kiaina.ndoa yake ina mizozo sana.mizozo hyo imesababisha mama aondoke kwasababu hakitulizi .mume nae michepuko. Siku moja nikamuuliza mke si...
11 Reactions
109 Replies
12K Views
https://www.yahoo.com/news/woman-blown-away-mother-law-183710718.html
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ivi ukimvulia docta wa kiume ambaye ni rika lako au ni handsome flan hivi,akakupekua kila mahali,,(hasa sehemu za siri).Baada ya kupona akaja kukuomba mkafanye matusi (sio inreturn), yani...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Za leo wandugu, Jamani shoga angu anatatizo na mumewe asiloweza kumuelewa vizuri nalileta kwenu mnisaidie na mawazo. Mume anakipato cha kawaida na yeye ni mother house (studying) tuu. Sasa ktk...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
WANT TO KNOW WHAT LIMBWATA MEANS? Mara nyingine mtu akiishi maisha ya kujali familia uambiwa amelishwa Limbwata aidha na Ndugu au Marafuki. Consider the following, LIMBWATA facts A) If LIMBWATA...
0 Reactions
53 Replies
19K Views
WHY WOMEN ARE SO SPECIAL . . . Mum and Dad were watching TV when Mum said, "I'm tired, and it's getting late. I think I'll go to bed." She went to the kitchen to make sandwiches for the...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna Madha Yoyote Yanapatina Mwilini Baada ya Kuingiliwa Kinyume Na maumbile .. . . Wadau Karibunii Darasa Huru ..
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Tafadhali naomba mnieleweshe hasa nyie wanaume atii inakuwaje unakuta mdada mzuri sana tuu wanamsifia kila mtu ,uko bomba,umetulia, oooh u look smart halafu ukimuuliza huyo dada unaboyfriend...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za mwaka mpya wakuu. Mwaka 2018 sidhani kama niliandika chochote humu jukwaani, ulikuwa mwaka nitakaoukumbuka kwa mengi. Baada ya salamu ndefu, naomba niulize hivi kwa wadada/wamama:-...
21 Reactions
104 Replies
8K Views
Habari za muda huu wana JF! Bila shaka mnaemdelea vyema na mapambano. Sasa, turudi kwenye mada husika, katika hali ambayo pengine wengine wanaweza kuona sio kawaida kwangu hua naifanya mara kwa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom